Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,710
- Thread starter
- #21
Kumbe tupo wengi eeeeh... ntaanzisha chama cha wenye kutaka watoto wengiHata mimi natamani kuwa na watoto kama nane hivi, just like my grandpa..
Kumbe tupo wengi eeeeh... ntaanzisha chama cha wenye kutaka watoto wengiHata mimi natamani kuwa na watoto kama nane hivi, just like my grandpa..
Hahahahaaa, ndo maana nikatoa ONYO hapo " uwe na uwezo wa kuwalea tu"... kwani we unataka wangap mkuu
JAMAA wewe zaa tu km mambo yenyewe ni kila mtoto atakuja na bahati yake haya weee
ndio km ilivyo katika picha ya avartar hapo juu mwanamume kuvaa sketi ya ngozi ya nguchiro mwaka mzima
Huyo ni mtoto mmoja sasa kuna member anataka 8 bado Mama hajavaa
- Mtoto anataka malezi, na vyakula ili asipatwe na kwashiakor miezi 6 hadi 10 awe angalau na 10kg chakula yake sasa.
- miaka 2.5 asome chekechea English Medium ada ya chini 350,000/= mpaka 800,000/ hapo usafiri wa kwenda na kurudi @ siku bado
- Primary angalau ajue KKK sio mpaka anafika Sekondari (Kusoma, Kuhesabu na Kuandika) hajui
Kwanini wasikudunde wakikua au wawe wabeba Sembe km sio kukuibia?
Punguza idadi ya wototo, sio lazima kila shaft ikidai uzae nenda na Mpango wa Uzazi (mama ataelezewa Klinik)
Hapana! ila nimetoke tu kupenda large family, mi mke wangu ajiandae tu angalau watoto 6 hivKwani wewe muha?
Waambie.... mila zote za zamani tunataka tuzirejeshe sasa...Sie waha tunatekeleza maagizo ya Mungu ya kuzaa ili tuijaze dunia ama nyie msiokuwa waha mnatekeleza zaidi ya shetani kwa kufanya zaidi vitendo vya kuuwa watoto kwa kisingizio cha kupanga uzazi na matokeo yake mnazaa mtoto ima mmoja au wawili.
Asante kwa sapoti mkuu... wewe vp?Suala la watoto ni mipango ya MUNGU! ila itapendeza kama ukiwa na watoto hata mia mbili lakini unawalea vizuri na hawakosi wanachokitaka, muhimu ukiwa na mtazamo wa kuwa na familia kubwa kama uzaniavyo jikite zaidi maeneo ya vijijini, uwe na mashamba ya kutosha na uwe mkulima na mfugaji wa kisasa, watoto wako hawatalala njaa kamwe na kusoma watasoma na hapo utajiri utauona maana familia itakufanya ufanye kazi kwa bidii. kamwe usiwe na mawazo ya kukaa mijini utawatesa hao watoto na mama yao. nakutakia uzazi mwema ndugu.
JAMAA wewe zaa tu km mambo yenyewe ni kila mtoto atakuja na bahati yake haya weee
ndio km ilivyo katika picha ya avartar hapo juu mwanamume kuvaa sketi ya ngozi ya nguchiro mwaka mzima
Huyo ni mtoto mmoja sasa kuna member anataka 8 bado Mama hajavaa
- Mtoto anataka malezi, na vyakula ili asipatwe na kwashiakor miezi 6 hadi 10 awe angalau na 10kg chakula yake sasa.
- miaka 2.5 asome chekechea English Medium ada ya chini 350,000/= mpaka 800,000/ hapo usafiri wa kwenda na kurudi @ siku bado
- Primary angalau ajue KKK sio mpaka anafika Sekondari (Kusoma, Kuhesabu na Kuandika) hajui
Kwanini wasikudunde wakikua au wawe wabeba Sembe km sio kukuibia?
Punguza idadi ya wototo, sio lazima kila shaft ikidai uzae nenda na Mpango wa Uzazi (mama ataelezewa Klinik)
Kwani wewe muha?
Ni kweli sista ila nimegundua kuna vitu common kwenye genes za waafrika ikiwamo kuwa na familia kubwa...... kwa wazungu suala la kuwa familia especially kuwa na watoto sio common sana, unakuta mtu tajiri ana mtoto mmoja na yuko happy... ila kibongobongo mtu akipata pesa tu lazima atafute na nyumba ndogo awe mpaka na watoto wa njeJaribu kuutafakari huu msemo wa waswahili "kulea mimba si tabu..tabu kulea mwana"
Nadhani watu wengi wanapenda kuwa na watoto wengi lakini mazingira yetu na hali ya maisha ya sasa ni tofauti ndiyo maana ibabidi mtu azae watoto wachache...
Ukiangalia zamani maswala kama ya elimu..chakula..mavazi..hata kusaidiana ilikuwa rahisi kuliko sasa....
Kwa hiyo bwana ukitaka kuwa na watoto wengi ujipange haswa..
hahahaa! timu moja tu ya basketball sio kubwa sana... watoto 6 hivunatengeneza timu A na B ya mpira.
Si ndo hivo tena, mgawanyo wa majukumu "sasa wewe unataka mtoto mmoja kama mboni ya jicho" nyinyi wanawake mmezidi uzungu sana...Mh kama labour mnaenda nyie ndo mtake watoto wengi
Wanaume nyie..!
Nyinyi kambi ya upinzani (KE) mmezidi kudeka sana, kama vile hamuishi bongo.. nyie haki kila mahali..!Nyie mtataka tuzae hata mia...maana hamjui tamu na chungu yake...
Ndo maana nikaweka na onyo kabisa pale pembeni.... if u have enough income why not to reproduce LARGE FAMILY ?Kuna jirani yangu ana watoto 8. Shule zikifunguliwa ni lazima agonge kuomba mkopo, ambao hata hivyo hajawahi kilipa yote.
Watoto wawili au wa 3 wanatosha sana.
Of coz kulea ni kazi, nakumbuka mama yangu akitaka kumpenga mdogo wangu kamasi anamnyonya puani... duh!..... ila bado am conservative! ntaendelea kuwa na mawazo ya familia kubwa forever.Hapana kwa kweli...bado sijasahau mziki wa labour...
Maji ya moto mwezi mzima.....
Sleepless nights.........
Unakuta kitoto kibishi kula..ukifika wakati wa kulisha unawaza mbinu mpya ya siku...
Hapo hajaanza shule....
Kumbuka enzi za bibi yako walikuwa wanaanza darasa la kwanza moja kwa moja tena na miaka tisa kwa ada ya shilingi 20 sijui...
Siku hizi wanaanza baby class na miaka miwili na nusu mpaka 3...ada yake....utaisoma namba.....
Picha ya nini tena mkuuWeka picha tuone;
Nyie mtataka tuzae hata mia...maana hamjui tamu na chungu yake...