Umeiskia hii ya wanaume watu wazima......

avatar179011_2.gif

JAMAA wewe zaa tu km mambo yenyewe ni kila mtoto atakuja na bahati yake haya weee
ndio km ilivyo katika picha ya avartar hapo juu mwanamume kuvaa sketi ya ngozi ya nguchiro mwaka mzima

  • Mtoto anataka malezi, na vyakula ili asipatwe na kwashiakor miezi 6 hadi 10 awe angalau na 10kg chakula yake sasa.
  • miaka 2.5 asome chekechea English Medium ada ya chini 350,000/= mpaka 800,000/ hapo usafiri wa kwenda na kurudi @ siku bado
  • Primary angalau ajue KKK sio mpaka anafika Sekondari (Kusoma, Kuhesabu na Kuandika) hajui
Huyo ni mtoto mmoja sasa kuna member anataka 8 bado Mama hajavaa
Kwanini wasikudunde wakikua au wawe wabeba Sembe km sio kukuibia?
Punguza idadi ya wototo, sio lazima kila shaft ikidai uzae nenda na Mpango wa Uzazi (mama ataelezewa Klinik)
Hahahahaaa, ndo maana nikatoa ONYO hapo " uwe na uwezo wa kuwalea tu"... kwani we unataka wangap mkuu
 
Sie waha tunatekeleza maagizo ya Mungu ya kuzaa ili tuijaze dunia ama nyie msiokuwa waha mnatekeleza zaidi ya shetani kwa kufanya zaidi vitendo vya kuuwa watoto kwa kisingizio cha kupanga uzazi na matokeo yake mnazaa mtoto ima mmoja au wawili.
Waambie.... mila zote za zamani tunataka tuzirejeshe sasa...
 
Suala la watoto ni mipango ya MUNGU! ila itapendeza kama ukiwa na watoto hata mia mbili lakini unawalea vizuri na hawakosi wanachokitaka, muhimu ukiwa na mtazamo wa kuwa na familia kubwa kama uzaniavyo jikite zaidi maeneo ya vijijini, uwe na mashamba ya kutosha na uwe mkulima na mfugaji wa kisasa, watoto wako hawatalala njaa kamwe na kusoma watasoma na hapo utajiri utauona maana familia itakufanya ufanye kazi kwa bidii. kamwe usiwe na mawazo ya kukaa mijini utawatesa hao watoto na mama yao. nakutakia uzazi mwema ndugu.
Asante kwa sapoti mkuu... wewe vp?
 
avatar179011_2.gif

JAMAA wewe zaa tu km mambo yenyewe ni kila mtoto atakuja na bahati yake haya weee
ndio km ilivyo katika picha ya avartar hapo juu mwanamume kuvaa sketi ya ngozi ya nguchiro mwaka mzima

  • Mtoto anataka malezi, na vyakula ili asipatwe na kwashiakor miezi 6 hadi 10 awe angalau na 10kg chakula yake sasa.
  • miaka 2.5 asome chekechea English Medium ada ya chini 350,000/= mpaka 800,000/ hapo usafiri wa kwenda na kurudi @ siku bado
  • Primary angalau ajue KKK sio mpaka anafika Sekondari (Kusoma, Kuhesabu na Kuandika) hajui
Huyo ni mtoto mmoja sasa kuna member anataka 8 bado Mama hajavaa
Kwanini wasikudunde wakikua au wawe wabeba Sembe km sio kukuibia?
Punguza idadi ya wototo, sio lazima kila shaft ikidai uzae nenda na Mpango wa Uzazi (mama ataelezewa Klinik)

Waambie mkuu huenda wakabadilika. Bado watu wanadhani ukubwa wa familia ndiyo wingi wa mafanikio. Kakueleza nani?
zaa kwa uwezo wa kuwapa mahitaji yao si kuonesha ulimwengu ati una uwezo wa kuzaa tu
 
Waha ndio zetu hizo ila mimi watatu tu watanitosha
 
Jaribu kuutafakari huu msemo wa waswahili "kulea mimba si tabu..tabu kulea mwana"

Nadhani watu wengi wanapenda kuwa na watoto wengi lakini mazingira yetu na hali ya maisha ya sasa ni tofauti ndiyo maana ibabidi mtu azae watoto wachache...

Ukiangalia zamani maswala kama ya elimu..chakula..mavazi..hata kusaidiana ilikuwa rahisi kuliko sasa....

Kwa hiyo bwana ukitaka kuwa na watoto wengi ujipange haswa..
Ni kweli sista ila nimegundua kuna vitu common kwenye genes za waafrika ikiwamo kuwa na familia kubwa...... kwa wazungu suala la kuwa familia especially kuwa na watoto sio common sana, unakuta mtu tajiri ana mtoto mmoja na yuko happy... ila kibongobongo mtu akipata pesa tu lazima atafute na nyumba ndogo awe mpaka na watoto wa nje
 
Kuna jirani yangu ana watoto 8. Shule zikifunguliwa ni lazima agonge kuomba mkopo, ambao hata hivyo hajawahi kilipa yote.

Watoto wawili au wa 3 wanatosha sana.
Ndo maana nikaweka na onyo kabisa pale pembeni.... if u have enough income why not to reproduce LARGE FAMILY ?
 
Hapana kwa kweli...bado sijasahau mziki wa labour...
Maji ya moto mwezi mzima.....
Sleepless nights.........
Unakuta kitoto kibishi kula..ukifika wakati wa kulisha unawaza mbinu mpya ya siku...
Hapo hajaanza shule....
Kumbuka enzi za bibi yako walikuwa wanaanza darasa la kwanza moja kwa moja tena na miaka tisa kwa ada ya shilingi 20 sijui...
Siku hizi wanaanza baby class na miaka miwili na nusu mpaka 3...ada yake....utaisoma namba.....
Of coz kulea ni kazi, nakumbuka mama yangu akitaka kumpenga mdogo wangu kamasi anamnyonya puani... duh!..... ila bado am conservative! ntaendelea kuwa na mawazo ya familia kubwa forever.
 
Back
Top Bottom