baadhi yenu nyie mnaozisifia ndoa zenu ndio zina majanga balaa but hongera kwa kuwa na ndoa boraSo what??? Kama ulikuwa unataka kutoa ushauri ungeutoa wazi mbele ya kadamnasi , sasa utafutwe ili iweje? Ahhh Gileeeeeeeesiiiiiii(usipanic mkuu)
By the way ndoa yangu tamu kushinda asali, sina matatizo wala sijaichoka ,kwanza kila siku naiona mpya...mahaba mahabani!
baadhi yenu nyie mnaozisifia ndoa zenu ndio zina majanga balaa but hongera kwa kuwa na ndoa bora
tunawafahamu wengi wa hivi wanaugulia maumivu ndani kwa ndani na kufa na tai shingoni.wamebeba gunia la msumari halafu wakija kwenye kadamnasi wanajidai wamebeba kipande cha keki
CC; Kipilipili
wake za watu wakutafute?
Ndoa ni kama CCM watu wameichoka hawataki hata kusikia, wanataka mabadiliko.
Nitakupataje...mi sitaki ht kusikia khs ndoa
unapatikana wap mi imenichosha na kuniumiza sana
Mi nimechoka najikaza tu.
Muda mwingine unaamua kuwa mpole ila baada ya muda unagundua kuna mambo yanafanyika ya kuumiza!
Mmh hapana Aisee.
Ndoa ni kama shairi linaimbika kwa sauti nyingi. Nyingine nzuri nyingine mbaya hivyo hivyo tu bora liimbike.
Mimi ctaki tena ndoa hata ushauri tu siutaki,ndoa haina maana ni upuuzi tu,bora MTU uishi unavyojua haina haja ya kuoa.
Ndoa haina fomula aisee iache tu
Upendo ni kitu muhimu sana katika Ndoa , Palipo upendo kuna Amani ,Furaha , hata kama kuna tatizo hukaa kwa upole kutafakari pamoja na kumaliza tofauti zao .
Dressing code..... chupiless
I can imagine...a sexual counselor who is not sexually satisfied...!!!
Kwahizi comment nazidi kuogopa ndoa kwakwel