Huyo mjasiliamali amezingatia taratibu zote za TBS ndio maana hata wahusika wamemgongea muhuri,kwa ujumla ametimiza mradi kama hakutoa chochote.Hiyo ndiyo staili yetu wabongo, kufanya mambo kiujanja ujanja,bidhaa hiyo hiyo wakiikataa nchini kenya, msikilize mbongo atakavyolalamika kwamba ameonewa.Biashara ya maua pale Arusha ilikuwa inadoda kwa mtindo huo huo.