Umegundua nini hapa?

Umegundua nini hapa?

Hivi kweli kwa mwendo huu tutafika? Kuna ubaya gani kwa product ya mwenzio kuonekana kwenye media yako? Kuna mazingira hayaepukiki kama haya ya maji. Kulikuwa na sababu za kitaalam kumenya karatasi za maji? tunayajua ni Kilimanjaro hayo!
Hiyo mbona ni kawaida mkuu!! Hakuna promo ya bure,kuna filamu zingine hasa za ki Turkey huwa wanaficha mpaka nembo ya gari kwa kivuli ili lisijulikane ni gari gani,hiyo ya kutoa lebo ya Chupa ya Maji ingetokea Europe kila mtu angesifu,tubadilike!!
 
Hahaha nimeipenda hiyo. No kupeana promo bila ada, kwa mtazamaji makini ndo utajiongeza ila wenzangu na mie wa kule katerero hatujui ni kipi kilichopo mezani zaidi ya kuona maji tu.

Kweli kabisa...me mwenyewe nisingeelewa chochote
 
nadhani ipitishwe sheria kwamba hakuna ruhusa kuharibu product/service ya mwenzio ikiwa bado valid. kama ni kuanza basi huo ujinga ungeanzia bungeni
 
Hiyo mbona ni kawaida mkuu!! Hakuna promo ya bure,kuna filamu zingine hasa za ki Turkey huwa wanaficha mpaka nembo ya gari kwa kivuli ili lisijulikane ni gari gani,hiyo ya kutoa lebo ya Chupa ya Maji ingetokea Europe kila mtu angesifu,tubadilike!!

vitu vingine vya kuacha tu. kuna wakati hiyo bidhaa inabaki kuwa huduma tu na si vinginevyo. sasa hicho walichofanya clouds hawaoni kama wameamsha udadisi?
 
Wameondoa lebo kwa sababu hawataki kutangaza biashara ambayo haikuwadhamini. Ila maji wamenunua kwa hiyo wanahaki ya kuyafanya chochote. Good idea.

Tofauti ya Maskini na Tajiri ni kwamba, kila anachofanya Tajiri anaingiza fedha, hivyo huwapenda watu wasio litambua hilo kama kuwatangazia biashara zake bure.
 

Dah kweli hawa jamaa Hippopotamus!!!

Wanakaba jiko,wanakaba choo.
Hakiliki waaaala hakuendeki.

NI SHIIIIDA.
 
Back
Top Bottom