Hayo maji sio ruvu kweli??
Miss u sana miss leo sijakuona baby wangu
leo airtel inasumbua network tangu mchana
Duh tigo umetupa wapi??
tigo nilitupaga zamani iko slow thana kesho itabidi nitafute na ya voda in case of emergence
Tigo me naona iko poa kidogo labda na huko kwenu ni shiida....irudishe tu namba ile ile
Kwakweli miss