Umegundua nini hapa?

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
1530568_1695406444010587_915450100719930772_n.jpg
 
Hao wanaume wote watano nini kilichowatisha hivyo,tembo au!!!!itabidi tufuatilie uanaume wao maana kwa crew yote hiyo hata kama ameingia chatu ndani hamwezi kosa plan B,mwone huyo aliyepanda na pazia sijui anataka kutokea darini?
 
Wanamwinda panya!! Kizazi cha dot.com,wanaume wamepanda juu ya viti kumkimbia kitoweo. Panya road atakuwa... Dada zetu wana taabu sana
 
Katika pozi hilo unaingia ndani huku unaye mwingine yule wa mapambo anaye nesa nesa theni unawarushia.

Akiwa bado yuko hewani hajatua chini utawaona watu wakionyesha ukomandoo kwa kudanda hata juu ya dari bila kamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom