umefika wakati Tanzania tuache masihara na utani,eti huu ni uwanja wa ndege

running truck inagharimu kama 1b kwa ile principle kuwa km 1 inajengwa na 800m - 1b.
Pesa za kutibiwa viongozi wastaafu kwenye budget ni sh. billion 10. Ukichukulia kwamba hawa wote wamechuma vya kutosha (ukiondoa wawili tu ambao nao hawako duniani tena - Kawawa na Mwalimu) hivyo wana uwezo wa kujitibia kwa pension za kawaida au kupata support za watoto wao waliokwisha waingiza kwenye 'mitandao' ya ufisadi.
Kwa maana hiyo ukikata hizo kwenye budget unapata viwanja vya ndege kama sita hivi vyenye hadhi kwa angalau kila miaka mitatu
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Airport na Airstrip. Bahati mbaya kwa tafsiri ya kiswahili vyote ni viwanja vya ndege.
mkuu, Singida ni mkoa na panatakiwa kuwa na airport, acha airstrip ibakie kwenye mgodi wa Buzwagi kurahisisha usafirishwaji wa dhahabu
 
Ndugu watanzania tunahitaji serikali ya majimbo ili kuondokana na umasikini. Bilashaka Singida ingekuwa na serikali ya kujitegemea kama jimbo, bilashaka wangekuwa na uwanja mzuri na yao yangekuwa juu kwa ujumla. Lakini kwa sasa kila kitu kinaratibiwa na serikali kuu ya kifisadi. Je ingekuwaje mikoa yote yenye madini kama ingekuwa inajitegemea kwa mapato na uwekezaji ndani mikoa hiyo? Funguka watanzania katiba mpya hiyo yaja!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…