Umeelewaje tangazo hili!

TUNAPAKA RANGI ZOTE
Hii sentensi inamaana nyingi
  1. wana Paka(wanyama) wa rangi zote ie blue, nyeusi, njano nk
  2. wanapaka rangi za aina zote.. ie ukitaka tupake blue. njano, nyeupe nk tunapaka
  3. wanapaka rangi sehem zozote ukitaka rangi ya kucha, rangi ya nyumba, rangi ya gari wanapaka
eeh mpaka kichwa kitauma kwa kufikiria...

4. Hapo (eneo lilipowekwa tangazo) wanapaka rangi zote.
 
wana nyau rangi zote.
hizi ni sentensi tata. mfano;
:jana nmelalia maziwa
:chupa-ruka kichurachura
:nyanya-mama mzaa bibi
:kata-ya kujitwishia kitu kichwani/kata katika mgawanyo wa sehemu kiuongozi serikalini
:amempigia fimbo n.k.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom