Umeelewa Nini Hapa

Umeelewa Nini Hapa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
24993385_10159581131740462_8750081001460580598_n.jpg
 
Jamaa kajimaliza mwenyewe kiroho wakati akipambana vita ya kimwili. Kichwa ndo kisha katika kiko chini.... spiritually.
 
Anatafakari aendelee kukata mti au akapige zake ulabu safari baridi na kitimoto😀
 
inamaana kuwa tunapokata miti nikama vile tunajimaliza wenyewe mfano maswala ya global warming,uharibifu wa vyanzo vya maji,desertification etc vyote hivyo vinapelekea vifo due to ukosefu wa chakula na athar mbaya nyingi
 
huo mti ni kinga kwake unamlinda na mengi kwa maana ya kivuli,halafu ataishia kufa kwa kukosa amani inayotunzwa na mti huo
 
inamaana kuwa tunapokata miti nikama vile tunajimaliza wenyewe mfano maswala ya global warming,uharibifu wa vyanzo vya maji,desertification etc vyote hivyo vinapelekea vifo due to ukosefu wa chakula na athar mbaya nyingi
Katika watu wooooote humu wewe ndo umedadavua vyema akili ya huyo msanii...safi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom