Umechelewa kuleta posa

Umechelewa kuleta posa

mshukuru mungu sana kwa hilo amekuepusha na gharika
 
Huyo mpenzi wako hamuwasiliani?
Yeye anasemaje kuhusu jibu ulilopewa?
Kama kuna aliyekuwa faster kuliko wewe basi kubali matokeo tu.
Likuepukalo una heri nalo.
 
Kuachana sio kirahisi rahisi kama mnavodhani,
we jamaa kama unampenda mpe mimba ndo watajua umewahi au umechelewa
otherwise uwe nawe humuhitaji tena
huyo ni mwanamke sio biashara ya kiwanja
 
^^
Akufukuzae hakukosei sababu, Songa mbele na tafuta mwingine! Maisha yenyewe haya.
^^
 
Baada ya kupewa majibu hayo sijawasiliana naye tena, yeye ana anasema mimi niamue!
 
Kuachana sio kirahisi rahisi kama mnavodhani,
we jamaa kama unampenda mpe mimba ndo watajua umewahi au umechelewa
otherwise uwe nawe humuhitaji tena
huyo ni mwanamke sio biashara ya kiwanja

Mjini kazi kweli kweli..hata baba mwenye nyumba hana deadline ya namna hyo lol
 
Baada ya kupewa majibu hayo sijawasiliana naye tena, yeye ana anasema mimi niamue!

huyo dada kiboko uamue nn sasa wakati posa imekataliwa hapo si kuachana tu. au anataka muendelee kuzini wakati ye anamngojea mwanaume anae mtaka
 
Hapo sasa! mi nilikosa cha kusema nikaamua kukaa kimya kuendelea na kazi zangu.
 
Wonders shall never end. Mi.nahisi ungekuwa unampenda haswa haya mambo ya posa yasingezingua ungemchukua juu kwa juu na mimba juu (kama una uwezo wa kumpa) kisha tuone hiyo deadline yao wangempa nani?

Cc Evelyn Salt Ennie
 
Last edited by a moderator:
hawakutaka tu wewe uoe binti yao posa haina dedline mkuu,alafu huyo mchumba anakuambia uamue!!uamue nn wakati posa imekataliwa,tafuta jiko jingine
 
Umeongea na mtarajiwa wako kujua nini kilijiri?
 
Basi kisichiridhiki hakiliki au mpe mimba huyo mwanamke uone watampeleka wapi
 
ndo ujue ulipangwa foreni,na yawezekana vile visababu ulikuwa unatizamiwa kama umekizi vigezo,watakuwa wamekuona hujakizi vigezo ndo wamepokea kwa mwenye vigezo nawe kuambiwa umechelewa,pole mpendwa!
 
Pole kwa kukosa mke, hongera sana kwa kukamilisha mjengo wako.

Kila jambo katika maisha lina sababu kwahiyo shukuru angalia ustaharabu mwengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom