Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara
Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu (sina uhakika na hizi spelling)