Umeadimika kishenzi!

Umeadimika km super sendema na makeresho! Mwee!
 

Hahahaaaa
 
Daaaa, mtuwangu umeadimika kama bikra!
 
Hivi MalariaSugu yuko wapi jamani, ameadimika kama mchanyato!
 
Umeadimika kama msele wa treni.
umeadimika kama milanngo ya tractor.
Umeadimika kama honi ya ndege.
Umeadimika kama thead ya mod
,,,,,hebu ongezea *yako hapo!
Kweli busara zako zimehadimika ndo maana unaandika ujinga
Umehadimika!!!
 
Umeadimika kama ukwel ndani ya CCM au mtoto wa masikini St Fransis
 
Unaonekana mno kama mabomu ya machozi Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…