Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara
Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu (sina uhakika na hizi spelling)

umesahau na log off leo loh!umeadimika kama mlango wa pikipiki
Mkuu Umenikumbusha na mie Pia Hiyo Kindo Kyako Mbe Nilishaliona hilo Basi But Lilikuwa ni Layland CD na Sio DaffHiyo Dafu ni uppercase DAF, kule kwetu lilikuwepo basi linaitwa "Kindo kyako Mbe" ule mlio ilikuwa ni faraja tosha hasa wakati wa "sensa"
Niko kwenye lindo basi nikasinzia kidogo na nikasahau kuiweka. Ahsante kwa kunikumbusha. Nalog offumesahau na log off leo loh!
Umeadimika kama maendeleo ya Tanzania
Umeadimika kama busara za CCpolice
Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara
Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu (sina uhakika na hizi spelling)
Hiyo Dafu ni uppercase DAF, kule kwetu lilikuwepo basi linaitwa "Kindo kyako Mbe" ule mlio ilikuwa ni faraja tosha hasa wakati wa "sensa"