Anne Maria
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 399
- 98
wakati ndio sasa ushawahi kukutana na mkweo gesti?
Ndo yatakayokukuta.
Jipe ma-hopu na Mtakatifu Paka huyo.
Vp lakini Cl ushaonana nae?
Kuna kaharufu ka mkaribisho hapa,hivi mfungo unaisha lini vile..??
kazi kwako kijana,nina wasiwasi ukanitia aibu kwani siunajua utakua umetoka kwenye mfungo bado nguvu itakuwa ya kibaba
Lakini si unajua sera zetu,lazima awe mkali kwanza,tumezoea kukimbiza ......
ha,ha,ha, mashart na vigezo ni lazima yazingatiwe kama ni mlaini huyo hafai aisee,tunataka mkali ndio mtamu
ha,ha,ha,ha,ha....usinivunje mbavu Madame B mi sitaki kucheka bwana nipo peke yangu hapa karabash naogopa watu wataniona chizi kucheka peke yangu.njoo basi upate moja au umefunga?
Mnanichokoza ee!
Nitawatisha mimi.
Dar hii kuna kufunga basi au ni kutaka kujishindisha na njaa!!
Kila kona vimwali tumevaa nguo za nyavunyavu.
Kufunga Zenji bhana,Dar unajitesa tu.
Navyopenda kutishwa basi,hebu tafuta sehemu basi untishe,unadhani mi sikuogopi wewe..??
Dar hii kuna kufunga basi au ni kutaka kujishindisha na njaa!!
Kila kona vimwali tumevaa nguo za nyavunyavu.
Kufunga Zenji bhana,Dar unajitesa tu.
Hapa nadhani nitahitaji msaada wa babu Asprin kutafsiri ujumbe huu..
St. Paka Mweusi,Ubongo wa babu umehifadhi vingi sana,sasa kama unataka kuishia ICU karibu.
Ukaguzi wake tu mie hoiiiiiiiiiiiii! Lol
Nataka nikutishe mbele ya mashahidi.
Na ukikimbia je?
kaka huyo ndio Madame B bwana nilikwambia?kama haujajianda leo usibonye kidude shauri yako
kama hujafunga basi mpatie @St Paka Mweusi ile kitu
We nikimbie tena..??Labda tuwe wawili tu ndio ntakimbia lakini mbele ya mashahidi nitajitahidi kadri ya uwezo wangu...