Umbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umbeya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ochu, May 7, 2012.

 1. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  [h=6] Mama mmoja mbeya alikuwa akimuona Mchungaji anaingia kwenye nyumba ya jirani yake kila siku, akashindwa kujizuia akamfwata mwenzie;
  MamaUdaku: Jirani mambo?
  Jirani: Poa
  MamaUdaku: Jirani kila siku namuona mchungaji anaingia kwako vipi anakuja kukuombea?
  Jirani: Shoga tafadhali achana na mimi, kwako kila siku kuna mwanajeshi anaingia kuna vita kwako? nijibu kwako kuna vita?
  [/h]
   
Loading...