Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 46
Huyu hajatulia,anataka tulisha propaganda ya ccm wkt ukweli tunaujua.Kila mtu anajua kua Slaa ni shujaa wetu anaekera serikali kama ana jeshi zima.Anaiumiza vichwa serikali ya Kikwete na wewe ni mmojawapo wanaokerwa na Slaa lkn ukweli ni kua AMESAIDIA kwa kiasi kikubwa kufichua uozo huu.