Umbea mtupu

yaani hata mpango wa kulala sina bado .na asubuhi kumi na mbili nasafiri. kulala alone sio mchezo mtani.. unageuka tu kitandani

Bon voyage...! Hp is all well! Takuombea
 
Hahhahaha nawajua nyau mie kwetu wapo tele utafkiri shule yao hahahahah wana mahaba hao hatari na milio hhuhuhuhuhuhu

Baaasi wajua! Usinisemee kuwa nilikuwa sijalala mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…