Umbali kati ya wapenzi ni chachu ya usaliti

Umbali kati ya wapenzi ni chachu ya usaliti

Aggghhr!!.. thread za namna hi zinankosesha usingizi, yan jamaa umeongea ukweli mtupu

ha ha ha!!!! hapa najaribu kufikiri ka wewe (dah huu mwaka wa pili totoo nimemwacha mbali mno sijui nani anapasha?.but hamna mtu bwana..lakini mbona simu yake imezimwa afu wiki ya pili hajaniita jina zuri lile, kuna mtu anamega nini?)..mara kibao tunawaza vibaya na hatimaye tunapata matokeo mabaya..
 
wengine tunapenda umbali ati, sio kubanana banana daily, lol....
 
Back
Top Bottom