Umati wa watu sio Kigezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umati wa watu sio Kigezo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaJambazi, Aug 30, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,065
  Likes Received: 3,247
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kufatilia blogs, magazeti, tv nyingi, mitundiko yao yame-base sana kwenye umati wa watu., ili kujaribu kuwahadaa wananchi kuwa,chama husika kinapendwa.

  TBC wao hawaonyeshi kwa sana,upande wenye umati mkubwa,hususani wa vyama vya upinzani, hivyo huishia kuonyesha close up clips tu.

  Nimegundua kuwa, mkusanyiko mkubwa unategemea burudani itakayokuwepo, na si upenzi au ukereketwa wa chama.
  Hata fiesta nayo ilikua inafurisha watu kila ilipokuwa imeweka kambi.

  Pics hizi chini,ni za uzinduzi wa Tigo pesa-mbeya,zilizofanyika juzi.

  Picha hizo zingeweza kutumika kama mtaji wa kisiasa,na kutundikwa kwenye front page za magazeti ili kuwahadaa wananchi,ikiwa umati huwa ungekuwa kwenye kampeni.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Pia nimeshtukia baadhi ya tv kutuchanganyia na kurudia matukio/clips ili tuamini umati flani ulikuwepo siku ya tukio, kumbe sio.
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  i think the opposite is TRUE...!!.
   
Loading...