Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Mama yake tayari ni mwanamke aliyempenda bure sasa anatakanini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Put In what?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Put In what?!
ThubutuuuuuuuNajaribu kukuelewa nashindwa, mwanamke kama kweli anakupenda haangalii una pesa au hauna atakupenda kwa jinsi ulivyo na kwa moyo wake wote.
Natamani atokee mwanamke mmoja kama malaika anipende bure ntamlipa fadhira za upendo wake