Ngudu Croach sijui COARTEM ..!! Nadhani hujanielewa point yangu. Sio kwamba kumsaidia
mtu kulikuwa ni kuwa force wachague chama fulani. Mimi sina chamaaa !!! Maana ya sentensi
zangu hapo juu ni kwamba watu wengi wamekuwa wakilalamika maisha magumu, Mishara midogo,
hamna madawa hospitalini, huduma za afya mbovu, Maji na umeme hakuna sehemu nyingi Tanzinia..
Na hata vikiwepo ni vya katakata mtu akijisikia..!!
Kampeni za mwaka huu watu wameelezwa ukweli kuwa miaka 54 ulitakiwa kuwa hapa na sasa uko hapa.
Angalia huyu ameshachota chake na maisha yake ni mazuri na watoto wake..!! Wewe bado unaendelea
kushabikia hao hao wanaokufanya uishi kwa shida!! Na ndio maana nikasema umasikini ni wa kujitakia.
Kwa wale wote waliokuwa na hali mbaya kimaisha na still kushabikia wanao waumiza..!! Hiyo ndio point
hapa. Wewe kama kiongozi au una mrija sehemu usijiangalie wewe angalia maisha ya watu kwa ujumla
hasa vijijini. Hope umesoma na unauelewa...!!!