Xi jiping
JF-Expert Member
- May 7, 2021
- 628
- 953
- Thread starter
- #41
Niwe mkweli , mimi ni mtu wa kipato cha kati. Niliwahi kuoa mwanamke kutoka katika familia ya kipato cha chini. Ilikuwa sipati nafasi hata mara moja ya kukaa mimi na mke wangu tule pamoja mchana. Lazima shemeji ua mama mdogo au baba mdogo lazima waje kumtembelea mke wangu wakati wa kula. Hakuwahi hata siku moja ndugu yangu mimi kuna kwa wakati huo. Ishatokezea mimi mwenye nyumba kukosa chakula kwa sababu ndugu wa mke wangu walikuja wengi kwa pamoja. Na wakitaka kuondoka lazima waombe na nauli. Ninachotaka kusema kila mtu aoe katika daraja yake
huyo mke bado unaye??
