Umasikini unaambukizwa, tuweni makini?

Umasikini unaambukizwa, tuweni makini?

Umasikini upo katika kichwa cha MTU Ila ni vizuri MTU yeyote akawa na ukaribu na WATU wenye positive mindset ili kuweza kujikwamua kimawazo na hatimaye kiuchumi.

Hivyo usimtenge masikini ishi nae Kwa kumfundisha nini Afanye na nini azingatia hasa katika.

Spiritual
Financially
 
Wakuu,,

Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa.

Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa masikini maana mtaambukizana upele tena kama ni mwanaume utakuwa masikini mara mbili kama tujuavyo wakwe wa mke watakuwa wanakuangalia na wazazi wako na ndugu zako pia.

Tuwe makini, tujikinge na mahusiano tunayoanzisha au tunaooa au kukutana na kushinda nao.

Ni hayo tu kwa leo
Utajiri ni mind game, umaskini ni mind game, play on your side.
 
Niwe mkweli , mimi ni mtu wa kipato cha kati. Niliwahi kuoa mwanamke kutoka katika familia ya kipato cha chini. Ilikuwa sipati nafasi hata mara moja ya kukaa mimi na mke wangu tule pamoja mchana. Lazima shemeji ua mama mdogo au baba mdogo lazima waje kumtembelea mke wangu wakati wa kula. Hakuwahi hata siku moja ndugu yangu mimi kuna kwa wakati huo. Ishatokezea mimi mwenye nyumba kukosa chakula kwa sababu ndugu wa mke wangu walikuja wengi kwa pamoja. Na wakitaka kuondoka lazima waombe na nauli. Ninachotaka kusema kila mtu aoe katika daraja yake
 
Hii ni mada uliyoichukulia kirahisi bila kushirikisha kichwa. Ratio ya maskini na matajiri ni ngapi?
Maskini mara nyingi huwa wanaoana na maskini wenzao. Sasa wewe so called "tajiri" unaogopa kuwa na maskini au kuoa maskini basi utajiri wako sio utajiri bali ni uwezo tu wa kula milo 3 kwa siku.

Tajiri hawezi kuwa na wasiwasi na kuwasaidia upande wa wakwe zake na ukiona una ubahili huo basi wewe sio tajiri ni mbadilisha mboga tu.

haya ndo mawazo ya masikini
 
Matajiri ni wabahili kuliko sisi maskini. Na wapo makini kwenye swala la kuoa kweli kweli

Nenda katazame watoto wa Bakhressa wake zao walipooa uchumi wa kwao ukoje

mjibu haelewagi huyo jamaa
 
Akili za kufikirika hizo hakuna uhusianao wowote kama umasikini unaambukoza basi na utajiri unaambukiza pia..

ndio ndio maana kama unataka kuwa tajiri kaa miongoni mwa matajiri
 
Familia yenye unafuu unakuwa una nini?Fafanua umaskini ni nini?Kwa sababu umeanza kwa kusema walala hoi wenzetu?
Wewe umepambana sasa hivi wewe tajiri?

punguza makasiriko
 
Matajiri ni wabahili kuliko sisi maskini. Na wapo makini kwenye swala la kuoa kweli kweli

Nenda katazame watoto wa Bakhressa wake zao walipooa uchumi wa kwao ukoje
Uchumi wao wa kawaida tu...huyo mtoto wa bakhresa kaoa ktk familia ya kawaida tu pale ilala mtaa wa kigoma. Na wao ndio wamezinyanyua familia za wakwe zao..acha ubinafsi
 
Nini faida au raha ya kuwa na hela halafu hutaki kuzitumia kusaidia watu. Kuna age mwanadamu ukiifika basi unauona huu ulimwengu si chochote si lolote na furaha halisi ya mali ipo katika kuleta furaha kwa watu maskini na mafukara.
 
Hii ni mada uliyoichukulia kirahisi bila kushirikisha kichwa. Ratio ya maskini na matajiri ni ngapi?
Maskini mara nyingi huwa wanaoana na maskini wenzao. Sasa wewe so called "tajiri" unaogopa kuwa na maskini au kuoa maskini basi utajiri wako sio utajiri bali ni uwezo tu wa kula milo 3 kwa siku.

Tajiri hawezi kuwa na wasiwasi na kuwasaidia upande wa wakwe zake na ukiona una ubahili huo basi wewe sio tajiri ni mbadilisha mboga tu.
Uzi ufungwe!
 
Fact
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nini faida au raha ya kuwa na hela halafu hutaki kuzitumia kusaidia watu. Kuna age mwanadamu ukiifika basi unauona huu ulimwengu si chochote si lolote na furaha halisi ya mali ipo katika kuleta furaha kwa watu maskini na mafukara.

Kma una hela kama huna hata hiyo hali hutakaa uifikie
 
Uchumi wao wa kawaida tu...huyo mtoto wa bakhresa kaoa ktk familia ya kawaida tu pale ilala mtaa wa kigoma. Na wao ndio wamezinyanyua familia za wakwe zao..acha ubinafsi

Nenda kafanye hivo sasa acha kubishana na ukweli
 
Back
Top Bottom