Umasikini unaambukizwa, tuweni makini?

Umasikini unaambukizwa, tuweni makini?

Xi jiping

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2021
Posts
628
Reaction score
953
Wakuu,,

Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa.

Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa masikini maana mtaambukizana upele tena kama ni mwanaume utakuwa masikini mara mbili kama tujuavyo wakwe wa mke watakuwa wanakuangalia na wazazi wako na ndugu zako pia.

Tuwe makini, tujikinge na mahusiano tunayoanzisha au tunaooa au kukutana na kushinda nao.

Ni hayo tu kwa leo
 
Hii ni mada uliyoichukulia kirahisi bila kushirikisha kichwa. Ratio ya maskini na matajiri ni ngapi?
Maskini mara nyingi huwa wanaoana na maskini wenzao. Sasa wewe so called "tajiri" unaogopa kuwa na maskini au kuoa maskini basi utajiri wako sio utajiri bali ni uwezo tu wa kula milo 3 kwa siku.

Tajiri hawezi kuwa na wasiwasi na kuwasaidia upande wa wakwe zake na ukiona una ubahili huo basi wewe sio tajiri ni mbadilisha mboga tu.
 
Hii ni mada uliyoichukulia kirahisi bila kushirikisha kichwa.Ratio ya maskini na matajiri ni ngapi?
Maskini mara nyingi huwa wanaoana na maskini wenzao. Sasa wewe so called "tajiri" unaogopa kuwa na maskini au kuoa maskini basi utajiri wako sio utajiri bali ni uwezo tu wa kula milo 3 kwa siku.
Tajiri hawezi kuwa na wasiwasi na kuwasaidia upande wa wakwe zake na ukiona una ubahili huo basi wewe sio tajiri ni mbadilisha mboga tu.

Matajiri ni wabahili kuliko sisi maskini. Na wapo makini kwenye swala la kuoa kweli kweli

Nenda katazame watoto wa Bakhressa wake zao walipooa uchumi wa kwao ukoje
 
Wakuu,,

Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa.
Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa masikini maana mtaambukizana upele tena kama ni mwanaume utakuwa masikini mara mbili kama tujuavyo wakwe wa mke watakuwa wanakuangalia na wazazi wako na ndugu zako pia.

Tuwe makini, tujikinge na mahusiano tunayoanzisha au tunaooa au kukutana na kushinda nao.

Ni hayo tu kwa leo
Akili za kufikirika hizo hakuna uhusianao wowote kama umasikini unaambukoza basi na utajiri unaambukiza pia..
 
Walala hoi wenzetu watakuja kukushambulia lakini hiki ulichokiandika ni ukweli mtupu.

kama umezaliwa familia yenye unafuu wa maisha basi mshukuru Mungu na usiombe ukakumbana na umasikini, na kama umezaliwa na kuishi maisha ya kimasikini basi pambana sana kizazi chako kisiishi maisha ya umasikini, pambana ukate chain ya umasikini kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.

Umasikini unadharirisha, umasikini unatesa, umasikini ni laana kama laana nyingine, umasikini si kitu cha kukifurahia na kuridhika nacho, umasikini ni kitu kibaya sana ndugu zangu.

katika siku za maisha yako pambana sana na pigana vita kupinga umasikini.

NB: kuzaliwa masikini si kosa ila kufa masikini ni kosa kubwa sana.

#getrichordietryin.
 
Familia yenye unafuu unakuwa una nini?Fafanua umaskini ni nini?Kwa sababu umeanza kwa kusema walala hoi wenzetu?
Wewe umepambana sasa hivi wewe tajiri?
 
Kwa mantiki yako hiyo hiyo kuna watoto wa matajiri wasiomaliza shule kwa sababu baba zao ni matajiri.
Ingawa hujaweka kumalizia shule unakuwa umesomaa mpaka level gani.
Mtoto wa tajiri hatoacha shule kwa sababu za kifedha mkuu,

Na hatoteseka mtaani kama wa maskini

Umaskini ni suala mtambuka mkuu
 
Wakuu,,

Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa.
Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa masikini maana mtaambukizana upele tena kama ni mwanaume utakuwa masikini mara mbili kama tujuavyo wakwe wa mke watakuwa wanakuangalia na wazazi wako na ndugu zako pia.

Tuwe makini, tujikinge na mahusiano tunayoanzisha au tunaooa au kukutana na kushinda nao.

Ni hayo tu kwa leo
kwahiyo mwanamume masikini aoe mwanamke tajiri?
kafanye utafiti upya
 
Mtoto wa tajiri hatoacha shule kwa sababu za kifedha mkuu,

Na hatoteseka mtaani kama wa maskini

Umaskini ni suala mtambuka mkuu
The end justifies the means.Huyo maskini asipoacha shule na kuendelea na shule sababu inakuwa nini?
Asilimia ngapi ya watoto maskini wanaacha shule kw sababu tu ya umaskini.
Hivi kwa Nchi hii wanaosoma wote wazazi wao ni matajiri?
Mtakuwa hamuizungumzii Tanzania.Majority ya watu hii ni masikini.
 
Familia yenye unafuu unakuwa una nini?Fafanua umaskini ni nini?Kwa sababu umeanza kwa kusema walala hoi wenzetu?
Wewe umepambana sasa hivi wewe tajiri?
Unafuu, kuweza kujikimu kwa mahitaji ya msingi na yasiyo ya msingi.

Ndio mimi si masikini na uchukia na kuupiga vita umasikini kwa nguvu zote.

Swali jingine?
 
The end justifies the means.Huyo maskini asipoacha shule na kuendelea na shule sababu inakuwa nini?
Asilimia ngapi ya watoto maskini wanaacha shule kw sababu tu ya umaskini.
Hivi kwa Nchi hii wanaosoma wote wazazi wao ni matajiri?
Mtakuwa hamuizungumzii Tanzania.Majority ya watu hii ni masikini.
umaskini ni kushindwa kukidhi mahitaji ya msingi

maana za umaskini ni nyingi ila hiyo ndo inafaa kwa muktadha wa hii mada

ndio maskini hawaachi shule kwasababu ya hela tu, ila hizo sababu zingine nyingi zinahusiana na umaskini

ndio sio wote wanaosoma ni matajiri ila sijasema maskini wote hawasomi

elewa umaskini ni suala mtambuka
 
Back
Top Bottom