Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Wadau UMASKINI ni LAANA hasa pale NCHI hiyo inakuwa na kila AINA ya RASLIMALI kama TANZANIA
Binafsi huwa Najiuliza kwanini TANZANIA watu wake ni MASIKINI wa KUTUPWA wakati ina RASLIMALI kila MKOA?
Je, Tunakwama Wapi?
Je, Tatizo ni UONGOZI umekosa DIRA MAONO na UBUNIFU?
Je, TATIZO ni SIASA za hiki CHAMA TAWALA? Nakosa MAJIBU
Lakini Binafsi NALIA na VIONGOZI wetu KUKOSA UBUNIFU wafanye NINI kupambana na Huu UMASIKINI wa WATU wake.
Na TATIZO hili linachangiwa sana na SIASA na kukosa KATIBA BORA yenye MISINGI IMARA na MADHUBUTI ya Kutumia RASLIMALI Zilizopo VIZURI
Tusipoangalia MASIKINI wa NCHI hii hawataingia MBINGUNI kwani UMASIKINI wetu ni WAKUJITAKIA MUNGU alipotupa RASLIMALI kila MKOA alitaka WATANZANIA wasiwe MASIKINI.