Umasikini mkoa wa Kagera unaletwa na Serikali

Ulitaka serikali itoke makao makuu ije kutembelea vivutio vya utalii huko,nyie wenyewe hamvisemei.

Mmajifanya matajiri i mjini ila kwenu nyumba za nyasi hamuendi kwenu hata kidogo.

Mnapigana sana majungu kinikumbuka Kesi ya KDCU na KARAGWE ESTATES ni kazi sana
Ilikuwaje hii
 
Hahahaha tatizo ni kwamba wanakagera Mnashida ya ubinafsi uliopitiliza, Kila mmoja ni mjuaji kupindikia, Kuna Diwani mmoja alihasisha wananchi washiriki katika shughuli za maendeleo, Ukipatikana mradi wowote Afu ukasimamia na mhaya robo Tatu ya pesa ya mradi lazima iingie mifukoni mwa watu, pia Wanakagera hawataki kabisa kuchangamana na makabila mengine, kingine wanakagera hawajui biashara, huwa wanapanga bei kwa kumkomoa mteja, watu wa Katoro na buseresere huwa wanaenda kununua bidhaa Mtukula na kwenda kuuza Huko Katoro na Buseresere harafu Watu wa Muleba ndo wanaenda Buseresere na Katoro na kwenda kuuza Muleba. Sasa njoo sasa kwenye kujali wateja! Muuza duka wa kihaya hata aliyepanga mafungu kumi ya nyanya mteja akienda humjibu kwa nyodo na Malingo kuliko hata Mfanya kazi wa bakhilesa. Mbaya zaidi Ukienda hata kijijini kiwanja cha 20x30 utauziwa 5 milion. Ukienda mjini unakutana mashamba ya ndizi na hawaki kuuza viwanja.pia Mtu Kutoka mikoa akileta ushindani kwenye biashara analogwa, au anatafutiwa majambazi, au kuchongewa TRA, POLISI AU UHAMIAJI ILI TU ATOKE.Kwa mazingira hayo KWA MAZINGIRA HAYO USItegemee Mkinga, MCHAGA, MPEMBA, MHINDI AU MNYANTUZU akawekeze mtaji Kagera.
True almost ulichosema ila Kuna jamaa angu mmoja tumetoka mkoa mmoja yupo Kagera katoboa kibiashara na hajawahi kurogwa 😄
 
Watanzania bhana! Huwa tunaigiza kuwa watu safi lakini chuki zimetujaa ajabu, kinachotubeba kwa kiasi kikubwa kuishi kwa amani ni uoga wetu tu. Tumejawa na ubinafsi, ubaguzi na roho mbaya za kutosha tu ambazo tunawasontea wakazi wa Kagera huku tukijifanya wasafi.

Mkoa wa Kagera na watu wake wanachukiwa ajabu sijapata kuona, ukiuliza sababu ni hizohizo zisizoeleweka. Chuki hizo ni dhahiri kuanzia mitaani hadi mitandaoni. Utasikia ooh wanajivuna/wanaringa/wanajisikia sana! Sasa mtu akijisikia ndo sababu umchukie? kama huna asili ya uchawi wewe tuseme una shida gani nyingine hata uchukie watu kirahisi?

Tazama hapa mtoa mada anazungumzia huduma za kijamii kama afya, maji, umeme, shule, usalama, barabara nk ambazo ni wajibu wa lazima wa serikali kuzifikisha kwa wananchi wote bila ubaguzi wala upendeleo na si hisani. Lakini ukishuka kwenye comments watu wanazungumzia ishu za kurogana, majungu, watu kujifanya matajiri na kutokurudi nyumbani, mara ubinafsi na kujisikia! Yote hayo yanahusiana nini na serikali kutokuwafikishia wananchi huduma muhimu kama afya na elimu kwa ubora kama inavyofanya kwingine ilhali wote ni walipakodi!?

Kwenye nyuzi za mkoa wa Kagera ndipo utawakuta watu wakiitetea na kuikingia kifua serikali kwa kutokutimiza wajibu wake na kufosi kuhamishia makosa kwa wananchi ambao ni wakazi wa mkoa huo.

Baadaye watu hao utawakuta wakijiliza humu na kuilaumu serikali kwa kutokutimiza wajibu wake wa kufikisha huduma hizo katika maeneo mengine! Hapo watakupostia picha za watoto wakisoma chini ya miti au madarasa mabovu ya matope, akina mama wakiteka maji machafu kwenye vidimbwi, barabara mbovu, akina mama wazazi wakilala wanne kitanda kimoja hospitali nk. Hapo serikali itapondwa balaa, sisiem italaaniwa laana zote za ulimwenguni na kuzimu! Sasa jichanganye upost picha za namna hiyo useme za Kagera uone wakazi watakavyogeuziwa kibao na serikali kuonekana haina hatia! Wahenga walisema "kunya anye kuku akinya bata kaharisha"!
 
Kagera inashangaza sana!
Tunakumbushwa na wahaya Dar walivyo matajiri kukicha. Misiba ndege, arusi ndege, wasomi nchini wao, wajuaji wao, ma profesa wao, madaktari wao, ma injinia wao! Wakulima hodari wao!
Mama Tibaijuka akaenda mbali na kudai zile bilioni alizopewa na mzee chenge ni hela ya mboga tu!
Sasa huu umaskini tunaousoma huu unatushagaza kwa kweli!
 
Watanzania bhana! Huwa tunaigiza kuwa watu safi lakini chuki zimetujaa ajabu, kinachotubeba kwa kiasi kikubwa kuishi kwa amani ni uoga wetu tu. Tumejawa na ubinafsi, ubaguzi na roho mbaya za kutosha tu ambazo tunawasontea wakazi wa Kagera huku tukijifanya wasafi.

Mkoa wa Kagera na watu wake wanachukiwa ajabu sijapata kuona, ukiuliza sababu ni hizohizo zisizoeleweka. Chuki hizo ni dhahiri kuanzia mitaani hadi mitandaoni. Utasikia ooh wanajivuna/wanaringa/wanajisikia sana! Sasa mtu akijisikia ndo sababu umchukie? kama huna asili ya uchawi wewe tuseme una shida gani nyingine hata uchukie watu kirahisi?

Tazama hapa mtoa mada anazungumzia huduma za kijamii kama afya, maji, umeme, shule, usalama, barabara nk ambazo ni wajibu wa lazima wa serikali kuzifikisha kwa wananchi wote bila ubaguzi wala upendeleo na si hisani. Lakini ukishuka kwenye comments watu wanazungumzia ishu za kurogana, majungu, watu kujifanya matajiri na kutokurudi nyumbani, mara ubinafsi na kujisikia! Yote hayo yanahusiana nini na serikali kutokuwafikishia wananchi huduma muhimu kama afya na elimu kwa ubora kama inavyofanya kwingine ilhali wote ni walipakodi!?

Kwenye nyuzi za mkoa wa Kagera ndipo utawakuta watu wakiitetea na kuikingia kifua serikali kwa kutokutimiza wajibu wake na kufosi kuhamishia makosa kwa wananchi ambao ni wakazi wa mkoa huo.

Baadaye watu hao utawakuta wakijiliza humu na kuilaumu serikali kwa kutokutimiza wajibu wake wa kufikisha huduma hizo katika maeneo mengine! Hapo watakupostia picha za watoto wakisoma chini ya miti au madarasa mabovu ya matope, akina mama wakiteka maji machafu kwenye vidimbwi, barabara mbovu, akina mama wazazi wakilala wanne kitanda kimoja hospitali nk. Hapo serikali itapondwa balaa, sisiem italaaniwa laana zote za ulimwenguni na kuzimu! Sasa jichanganye upost picha za namna hiyo useme za Kagera uone wakazi watakavyogeuziwa kibao na serikali kuonekana haina hatia! Wahenga walisema "kunya anye kuku akinya bata kaharisha"!
Mkuu, hakuna mkoa ambao umeendelea kwa kupewa miradi na serikali, nenda Njombe, Iringa, Mbeya, Musoma, Manyara ukaone jinsi watu wanavyotengeneza pesa kwenye kilimo na biashara na ulinganishe mkoa wako. Mimi nakwambia Bukoba isingekuwa ubinafsi wa wanakagera ingeshakuwa Jiji Muda Mrefu. Sijui Madiwani kwenye Halimashauli zenu huwa wanafanya kazi Gani au ndo kupigana majungu Tu pasopo kupanga mipango ya Maendeleo. Ukiangalia Mkoa wa Kagera , wilaya ya Muleba ndo inaongoza kwa makusanyo ya mapato lakn sasa hakuna stend, hakuna soko la maana, mji umejaa mashamba ya ndizi na viwanja hawataki kuuza.mnamabonde mazuri sana ya kulima mpunga ila hamlimi na wasukuma wakitaka kulima mnawashitaki na kuwapakazia kesi za uvamizi wa maeneo, mbogamboga kama nyanya na kabegi mnaagiza Geita lkn kwenu ardhi Iipo, Watu wa Kagera bado wanalima jembe la mkono na wahawajui kama trekita na Plau za kuvutwa na ng'ombe zinaweza Lima. Kwa mantiki hiyo je maendeleo ni ngumu sana kupatika hata serikali iwe inawatengea bajeti kama na kilimo cha migomba na kahawa na hayo mabonde mruhusu watu walime mpunga na wafuge samaki
 
Pia

Pia katika uchaguzi huu, hakikisheni mnachagua Madiwani wadilifu wenye kupigania maendeleo ya mkoa wenu, pia wabunge mchague wale ambao ni wazuri kimaadili na hawatakuwa na vijitabia vya kupandisha mabega kwa wakubwa na waache kujionyesha kuwa wao ni Bora zaidi kwa wakubwa wao.
Uganda Kuna soko zuri sana la Mchele na kahawa, pia Rwanda Kuna soko la Mchele ila Tatizo leo Waganda wanaogopa sana kufanya na nyie biashara za kahawa kwa mnatabia ya utapeli katika Biashara .
 
Mwaga mkuu mwaga....👍💯🤝
 
Wahaya , ni watu wagumu ku associate nao. Jamani tuwaacheni hivyohivyo ambavyo hawataki kujichanganya na mikoa mingine , Kwa sababu ndiyo wanavyotaka. Kwa sababu wao wanajionaga Bora kuliko wengine, tuwaache, na serikali iwaache , isiwasumbue .
 
Mkuu, hakuna mkoa ambao umeendelea kwa kupewa miradi na serikali, nenda Njombe, Iringa, Mbeya, Musoma, Manyara ukaone jinsi watu wanavyotengeneza pesa kwenye kilimo na biashara na ulinganishe mkoa wako. Mimi nakwambia Bukoba isingekuwa ubinafsi wa wanakagera ingeshakuwa Jiji Muda Mrefu. Sijui Madiwani kwenye Halimashauli zenu huwa wanafanya kazi Gani au ndo kupigana majungu Tu pasopo kupanga mipango ya Maendeleo. Ukiangalia Mkoa wa Kagera , wilaya ya Muleba ndo inaongoza kwa makusanyo ya mapato lakn sasa hakuna stend, hakuna soko la maana, mji umejaa mashamba ya ndizi na viwanja hawataki kuuza.mnamabonde mazuri sana ya kulima mpunga ila hamlimi na wasukuma wakitaka kulima mnawashitaki na kuwapakazia kesi za uvamizi wa maeneo, mbogamboga kama nyanya na kabegi mnaagiza Geita lkn kwenu ardhi Iipo, Watu wa Kagera bado wanalima jembe la mkono na wahawajui kama trekita na Plau za kuvutwa na ng'ombe zinaweza Lima. Kwa mantiki hiyo je maendeleo ni ngumu sana kupatika hata serikali iwe inawatengea bajeti kama na kilimo cha migomba na kahawa na hayo mabonde mruhusu watu walime mpunga na wafuge samaki
Serikali ijenge hospital za kisasa
Serikali ijenge barabara imara
Serikali ijenge shule naadawati
Serikali iimarishe usalama
 
Serikali ijenge hospital za kisasa
Serikali ijenge barabara imara
Serikali ijenge shule naadawati
Serikali iimarishe usalama
Mkuu, Madiwani wenu katika Halimashauli zenu ni wapigaji sana, inashangaza sana Halimashauli zote isipokuwa manispaa ya Bukoba ndo Kuna hospital ya Government, sehemu zingine hakuna hospital za wilaya kazi yao ni Kuingia Ubia na hospital za mission ili wakubwa wawe wanapiga cha juu. Sasa unategemea ashuke malaika , serikali huwa inatoa pesa ya miradi lakn viongozi wenu Wana bargain na Private sector ili wapatemo cha juu.
Na mwaka huu mkichagua wabunge na Madiwani walafi msahau kuhusu maendeleo na kwa taarifa yenu mtakuja kuachwa nyuma kimaendeleo na mikoa kama Simiyu, Geita na songwe kimaendeleo.
 
Kwaiyo serikali inatoa pesa za miradi ya maendeleo na watu wanaokula Bado serikali inakaa kimya?
Kwanini isiwakamate hao waharifu na kuwafikisha mahakamani
Au hauko sawa kichwani
 
Hahahaha nyie ndo mpo sawa wakati takwimu zinawafunga,, katika wilaya ya Muleba Kuna Tarafa 5, kata 43 lakini hakuna Hospital ya wilaya na Madiwani na wabunge wapi , miradi ya ujenzi wa hospitali ikija wa wanaleta ujuaji , wanaingia Ubia na Hospital ya mission ya Rubya, pia Kuna Wahaya Wana masirahi binafsi na hospital za Rubya, Kagondo na Ndolage maana huwa wanapewa Rushwa ili kuhujumu miradi ya serikali kwa kupewa Rushwa na Wamiliki wa hizo hospital. Sasa kwa MAZINGIRA HAYO USItegemee huduma Bora ya afya Kutoka kwenye zahanati na vituo vya afya mpaka Uende katika hizo hospital za mission.
  • Pato la mwananchi (Per Capita GDP) wa Muleba kulingana na utafiti uliofanyika mwaka 2015 na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) = 1,148,286.8
  • Idadi ya visiwa vyenye makazi ya watu = 25
  • Jumla ya idadi ya visiwa = 39
  • Idadi ya vitongoji = 752
  • Idadi ya vijiji = 166
  • Idadi ya kata = 43
  • Idadi ya tarafa = 5
  • Idadi ya majimbo ya uchaguzi = 2
  • Idadi ya wategemezi (KE) = 152,239
  • Idadi ya wategemezi (ME) = 147,942
  • Jumla ya Idadi ya wategemezi (Dependants) = 300,181
  • Idadi ya wazee (KE) (65+) = 13,605
  • Idadi ya wazee (ME) (65+) = 10,353
  • Idadi ya wazee (65+) = 23,958
  • Jumla ya idadi ya watu (KE) wenye uwezo wa kufanya kazi (15-64) = 170,347
  • Jumla ya idadi ya watu (ME) wenye uwezo wa kufanya kazi (15-64) = 167,131
 
Hahahaha tatizo ni kwamba wanakagera Mnashida ya ubinafsi uliopitiliza, Kila mmoja ni mjuaji kupindikia, Kuna Diwani mmoja alihasisha wananchi washiriki katika shughuli za maendeleo, Ukipatikana mradi wowote Afu ukasimamia na mhaya robo Tatu ya pesa ya mradi lazima iingie mifukoni mwa watu, pia Wanakagera hawataki kabisa kuchangamana na makabila mengine, kingine wanakagera hawajui biashara, huwa wanapanga bei kwa kumkomoa mteja, watu wa Katoro na buseresere huwa wanaenda kununua bidhaa Mtukula na kwenda kuuza Huko Katoro na Buseresere harafu Watu wa Muleba ndo wanaenda Buseresere na Katoro na kwenda kuuza Muleba. Sasa njoo sasa kwenye kujali wateja! Muuza duka wa kihaya hata aliyepanga mafungu kumi ya nyanya mteja akienda humjibu kwa nyodo na Malingo kuliko hata Mfanya kazi wa bakhilesa. Mbaya zaidi Ukienda hata kijijini kiwanja cha 20x30 utauziwa 5 milion. Ukienda mjini unakutana mashamba ya ndizi na hawaki kuuza viwanja.pia Mtu Kutoka mikoa akileta ushindani kwenye biashara analogwa, au anatafutiwa majambazi, au kuchongewa TRA, POLISI AU UHAMIAJI ILI TU ATOKE.Kwa mazingira hayo KWA MAZINGIRA HAYO USItegemee Mkinga, MCHAGA, MPEMBA, MHINDI AU MNYANTUZU akawekeze mtaji Kagera.
Mnyantuzu ndo nani? Mbona unatuchanganya Mzee? Sema Msukuma!
 
Hahahaha nyie ndo mpo sawa wakati takwimu zinawafunga,, katika wilaya ya Muleba Kuna Tarafa 5, kata 43 lakini hakuna Hospital ya wilaya na Madiwani na wabunge wapi , miradi ya ujenzi wa hospitali ikija wa wanaleta ujuaji , wanaingia Ubia na Hospital ya mission ya Rubya, pia Kuna Wahaya Wana masirahi binafsi na hospital za Rubya, Kagondo na Ndolage maana huwa wanapewa Rushwa ili kuhujumu miradi ya serikali kwa kupewa Rushwa na Wamiliki wa hizo hospital. Sasa kwa MAZINGIRA HAYO USItegemee huduma Bora ya afya Kutoka kwenye zahanati na vituo vya afya mpaka Uende katika hizo hospital za mission.
  • Pato la mwananchi (Per Capita GDP) wa Muleba kulingana na utafiti uliofanyika mwaka 2015 na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) = 1,148,286.8
  • Idadi ya visiwa vyenye makazi ya watu = 25
  • Jumla ya idadi ya visiwa = 39
  • Idadi ya vitongoji = 752
  • Idadi ya vijiji = 166
  • Idadi ya kata = 43
  • Idadi ya tarafa = 5
  • Idadi ya majimbo ya uchaguzi = 2
  • Idadi ya wategemezi (KE) = 152,239
  • Idadi ya wategemezi (ME) = 147,942
  • Jumla ya Idadi ya wategemezi (Dependants) = 300,181
  • Idadi ya wazee (KE) (65+) = 13,605
  • Idadi ya wazee (ME) (65+) = 10,353
  • Idadi ya wazee (65+) = 23,958
  • Jumla ya idadi ya watu (KE) wenye uwezo wa kufanya kazi (15-64) = 170,347
  • Jumla ya idadi ya watu (ME) wenye uwezo wa kufanya kazi (15-64) = 167,131
Hivi wewe unajielewa kweli
Mleba Kuna wateule wa Rais kuanzia mkuu wa wilaya, DED, DAS, karibu tawala, RPC, OCD, TAKUKURU
Hawa wote wanaona pesa ya walipa kodi inakuja inaishia Kwa watu wachache na wao wanatazama tu
Serikali imeutelekeza Mleba
 
Hivi unajua kwamba mipango ya Maendeleo ya wilaya inapangwa na Na nani, Ni Baraza la madiwani ndio wanaohusika na sio wateule wa Rais, kazi ya wateule wa Rais ni Kumentain laws and order. Hao Madiwani wenu ndo muwalaum na siyo serikali.
 
Sijui sisi watu wa Kagera tuliwakosea nini serikali?

Pamoja na kuwa na kila kitu ila serikali imeufanya mkoa wa Kagera kuja na kuchuma mapato na kuutelekeza

Serikali ipo kutawala na kunyonya mkoa wetu bila kuwekeza chochote

Mkoa wetu unazalisha mazao kama kahawa, ndizi, maharage n k

Tuna madini, uvuvi n k

Mkoa wa Kagera umetoa wasomi na wataalam wengi lakini ni sehemu ambayo imekosa wawakilishi wa kuitetea

1. Huduma za jamii
Ukifika Mleba, Buharamulo, Kyerwa, Bukoba vijijini Kuna sehemu hakuna madarasa, Zahanati, barabara wala maji

2 Usalama
Mkoa wa Kagera tunapakana na nchi 3 yaani Burundi, Rwanda, na Uganda. Ni mkoa ambao una wahamiaji haramu wengi na mapori ya kutisha kama Kasindaga na Kimisi
Serikali iboreshe sehemu hizi

3, Miundo mbinu na mawasiliano.
Mkoa wa Kagera una barabara nyingi za vumbi, huduma ya mawasiliano Iko duni sana na mtandao maeneo mengi haukamati.

Serikali haijajenga barabara za kuunganisha wilaya ya Ngara na Karagwe, Kyerwa na Karagwe, Misenyi na Bukoba

4. Afya
Hospital ya mkoa ukifika utasikitika sana
Wananchi hukimbilia hospital binafsi hasa za kanisa

5. Maji
Serikali imeutelekeza mkoa wetu. Kuna shida kubwa ya maji watu hutembea sio chini ya km 10 kupata ndoo ya maji, Na dumu huuzwa sh 1000 ndoo 1, licha ya kuwa tumepakana na ziwa victoria, mto Kagera, Ziwa Burigi, mto Ruvuvu, Bwawa la Chamchuzi na mabwawa mengine mengi

6. Stend ya mkoa.
Ile stend ya mkoa iliyojengwa mpya ukifika ni vumbi na chafunna ni ovyo sana

7.Serikali imeua sekta ya utalii mkoa wa Kagera

Magufuli alituibia hifadhi yetu ya Burigi na kuita Burigi Chato hivo kulipeleka mkoa wa Geita,
Serikali haitangazi vivutio vyeti vingine vya Ibanda n.k

8 sekta ya madini.
Kuna migodi ya Kabanga nickel na Machimbo ya tin Kyerwa lakini haya yote hawanufaishi wazawa

9. Uvuvi na ufugaji
Sekta ya uvuvi imejifia na mifugo hatuna pa kuchungia

Serikali utazame mkoa wetu Kwa hicho la huruma

Soma Pia: Anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera
Mtoa mada asikilizwe ,Tz mikoa yote ya mipakani ilitakiwa kuwa na uchumi uliojuu sana, ila ndo ivyo , mwafaa
 
Back
Top Bottom