Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,053
- 18,008
ila kwa sisi tuliowahi na ambao bado tunafanya kazi na kuishi na wahaya tunawajua vizuri, ni bora kuishi na fisi kuliko kuishi au kufanya kazi na mhaya, kuna mmoja alikuwa HR hapa kazini,Watanzania bhana! Huwa tunaigiza kuwa watu safi lakini chuki zimetujaa ajabu, kinachotubeba kwa kiasi kikubwa kuishi kwa amani ni uoga wetu tu. Tumejawa na ubinafsi, ubaguzi na roho mbaya za kutosha tu ambazo tunawasontea wakazi wa Kagera huku tukijifanya wasafi.
Mkoa wa Kagera na watu wake wanachukiwa ajabu sijapata kuona, ukiuliza sababu ni hizohizo zisizoeleweka. Chuki hizo ni dhahiri kuanzia mitaani hadi mitandaoni. Utasikia ooh wanajivuna/wanaringa/wanajisikia sana! Sasa mtu akijisikia ndo sababu umchukie? kama huna asili ya uchawi wewe tuseme una shida gani nyingine hata uchukie watu kirahisi?
Tazama hapa mtoa mada anazungumzia huduma za kijamii kama afya, maji, umeme, shule, usalama, barabara nk ambazo ni wajibu wa lazima wa serikali kuzifikisha kwa wananchi wote bila ubaguzi wala upendeleo na si hisani. Lakini ukishuka kwenye comments watu wanazungumzia ishu za kurogana, majungu, watu kujifanya matajiri na kutokurudi nyumbani, mara ubinafsi na kujisikia! Yote hayo yanahusiana nini na serikali kutokuwafikishia wananchi huduma muhimu kama afya na elimu kwa ubora kama inavyofanya kwingine ilhali wote ni walipakodi!?
Kwenye nyuzi za mkoa wa Kagera ndipo utawakuta watu wakiitetea na kuikingia kifua serikali kwa kutokutimiza wajibu wake na kufosi kuhamishia makosa kwa wananchi ambao ni wakazi wa mkoa huo.
Baadaye watu hao utawakuta wakijiliza humu na kuilaumu serikali kwa kutokutimiza wajibu wake wa kufikisha huduma hizo katika maeneo mengine! Hapo watakupostia picha za watoto wakisoma chini ya miti au madarasa mabovu ya matope, akina mama wakiteka maji machafu kwenye vidimbwi, barabara mbovu, akina mama wazazi wakilala wanne kitanda kimoja hospitali nk. Hapo serikali itapondwa balaa, sisiem italaaniwa laana zote za ulimwenguni na kuzimu! Sasa jichanganye upost picha za namna hiyo useme za Kagera uone wakazi watakavyogeuziwa kibao na serikali kuonekana haina hatia! Wahenga walisema "kunya anye kuku akinya bata kaharisha"!
juzi kamwambia mwenye kampuni ana elimu ndogo ndiyo maana ni mzito kuelewa,
mchagga wa watu akamwambia tu sawa, ngoja nitafute wajinga wenzangu nifanye nao kazi,
Na kazi ikaishia hapo.