Umasikini mkoa wa Kagera unaletwa na Serikali

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Sijui sisi watu wa Kagera tuliwakosea nini serikali?

Pamoja na kuwa na kila kitu ila serikali imeufanya mkoa wa Kagera kuja na kuchuma mapato na kuutelekeza

Serikali ipo kutawala na kunyonya mkoa wetu bila kuwekeza chochote

Mkoa wetu unazalisha mazao kama kahawa, ndizi, maharage n k

Tuna madini, uvuvi n k

Mkoa wa Kagera umetoa wasomi na wataalam wengi lakini ni sehemu ambayo imekosa wawakilishi wa kuitetea

1. Huduma za jamii
Ukifika Mleba, Buharamulo, Kyerwa, Bukoba vijijini Kuna sehemu hakuna madarasa, Zahanati, barabara wala maji

2 Usalama
Mkoa wa Kagera tunapakana na nchi 3 yaani Burundi, Rwanda, na Uganda. Ni mkoa ambao una wahamiaji haramu wengi na mapori ya kutisha kama Kasindaga na Kimisi
Serikali iboreshe sehemu hizi

3, Miundo mbinu na mawasiliano.
Mkoa wa Kagera una barabara nyingi za vumbi, huduma ya mawasiliano Iko duni sana na mtandao maeneo mengi haukamati.

Serikali haijajenga barabara za kuunganisha wilaya ya Ngara na Karagwe, Kyerwa na Karagwe, Misenyi na Bukoba

4. Afya
Hospital ya mkoa ukifika utasikitika sana
Wananchi hukimbilia hospital binafsi hasa za kanisa

5. Maji
Serikali imeutelekeza mkoa wetu. Kuna shida kubwa ya maji watu hutembea sio chini ya km 10 kupata ndoo ya maji, Na dumu huuzwa sh 1000 ndoo 1, licha ya kuwa tumepakana na ziwa victoria, mto Kagera, Ziwa Burigi, mto Ruvuvu, Bwawa la Chamchuzi na mabwawa mengine mengi

6. Stend ya mkoa.
Ile stend ya mkoa iliyojengwa mpya ukifika ni vumbi na chafunna ni ovyo sana

7.Serikali imeua sekta ya utalii mkoa wa Kagera

Magufuli alituibia hifadhi yetu ya Burigi na kuita Burigi Chato hivo kulipeleka mkoa wa Geita,
Serikali haitangazi vivutio vyeti vingine vya Ibanda n.k

8 sekta ya madini.
Kuna migodi ya Kabanga nickel na Machimbo ya tin Kyerwa lakini haya yote hawanufaishi wazawa

9. Uvuvi na ufugaji
Sekta ya uvuvi imejifia na mifugo hatuna pa kuchungia

Serikali utazame mkoa wetu Kwa hicho la huruma

Soma Pia: Anguko la uchumi wa mkoa wa Kagera
 
Hahahaha tatizo ni kwamba wanakagera Mnashida ya ubinafsi uliopitiliza, Kila mmoja ni mjuaji kupindikia, Kuna Diwani mmoja alihasisha wananchi washiriki katika shughuli za maendeleo, Ukipatikana mradi wowote Afu ukasimamia na mhaya robo Tatu ya pesa ya mradi lazima iingie mifukoni mwa watu, pia Wanakagera hawataki kabisa kuchangamana na makabila mengine, kingine wanakagera hawajui biashara, huwa wanapanga bei kwa kumkomoa mteja, watu wa Katoro na buseresere huwa wanaenda kununua bidhaa Mtukula na kwenda kuuza Huko Katoro na Buseresere harafu Watu wa Muleba ndo wanaenda Buseresere na Katoro na kwenda kuuza Muleba. Sasa njoo sasa kwenye kujali wateja! Muuza duka wa kihaya hata aliyepanga mafungu kumi ya nyanya mteja akienda humjibu kwa nyodo na Malingo kuliko hata Mfanya kazi wa bakhilesa. Mbaya zaidi Ukienda hata kijijini kiwanja cha 20x30 utauziwa 5 milion. Ukienda mjini unakutana mashamba ya ndizi na hawaki kuuza viwanja.pia Mtu Kutoka mikoa akileta ushindani kwenye biashara analogwa, au anatafutiwa majambazi, au kuchongewa TRA, POLISI AU UHAMIAJI ILI TU ATOKE.Kwa mazingira hayo KWA MAZINGIRA HAYO USItegemee Mkinga, MCHAGA, MPEMBA, MHINDI AU MNYANTUZU akawekeze mtaji Kagera.
 
Huna taarifa sahihi
 
Huna taarifa sahihi
Mkuu, pale Muleba wanajenga soko lkn sasa Bati zilizotumika kujengea uzio ni Bati za Bei ghali gauge 28 na sijawahi Kuoa hapa Tanzania. Ujanja ujanja mwingi sana nyie, Kuna sehemu pia walipewa mradi wa Barbara ya Lami, Kuna big mmoja alitaka Lami isipite mjini ila ipite karibu na nyumbani kwake.Magufuli aliposikia akamtengua hata Cheo alichokuwa amemteua.
 
Sijui sisi watu wa Kagera tuliwakosea nini serikali?

Pamoja na kuwa na kila kitu ila serikali imeufanya mkoa wa Kagera kuja na kuchuma mapato na kuutelekeza

Serikali ipo kutawala na kunyonya mkoa wetu bila kuwekeza chochote

Mkoa wetu unazalisha mazao kama kahawa, ndizi, maharage n k

Tuna madini, uvuvi n k

Mkoa wa Kagera umetoa wasomi na wataalam wengi lakini ni sehemu ambayo imekosa wawakilishi wa kuitetea

1. Huduma za jamii
Ukifika Mleba, Buharamulo, Kyerwa, Bukoba vijijini Kuna sehemu hakuna madarasa, Zahanati, barabara wala maji

2 Usalama
Mkoa wa Kagera tunapakana na nchi 3 yaani Burundi, Rwanda, na Uganda. Ni mkoa ambao una wahamiaji haramu wengi na mapori ya kutisha kama Kasindaga na Kimisi
Serikali iboreshe sehemu hizi

3, Miundo mbinu na mawasiliano.
Mkoa wa Kagera una barabara nyingi za vumbi, huduma ya mawasiliano Iko duni sana na mtandao maeneo mengi haukamati.

Serikali haijajenga barabara za kuunganisha wilaya ya Ngara na Karagwe, Kyerwa na Karagwe, Misenyi na Bukoba

4. Afya
Hospital ya mkoa ukifika utasikitika sana
Wananchi hukimbilia hospital binafsi hasa za kanisa

5. Maji
Serikali imeutelekeza mkoa wetu. Kuna shida kubwa ya maji watu hutembea sio chini ya km 10 kupata ndoo ya maji, Na dumu huuzwa sh 1000 ndoo 1, licha ya kuwa tumepakana na ziwa victoria, mto Kagera, Ziwa Burigi, mto Ruvuvu, Bwawa la Chamchuzi na mabwawa mengine mengi

6. Stend ya mkoa.
Ile stend ya mkoa iliyojengwa mpya ukifika ni vumbi na chafunna ni ovyo sana

7.Serikali imeua sekta ya utalii mkoa wa Kagera

Magufuli alituibia hifadhi yetu ya Burigi na kuita Burigi Chato hivo kulipeleka mkoa wa Geita,
Serikali haitangazi vivutio vyeti vingine vya Ibanda n.k

8 sekta ya madini.
Kuna migodi ya Kabanga nickel na Machimbo ya tin Kyerwa lakini haya yote hawanufaishi wazawa

9. Uvuvi na ufugaji
Sekta ya uvuvi imejifia na mifugo hatuna pa kuchungia

Serikali utazame mkoa wetu Kwa hicho la huruma
Hujui kagera ilikuwaje hebu tuliza mshono bavicha wewe

Ussr
 
Ulitaka serikali itoke makao makuu ije kutembelea vivutio vya utalii huko,nyie wenyewe hamvisemei.

Mmajifanya matajiri i mjini ila kwenu nyumba za nyasi hamuendi kwenu hata kidogo.

Mnapigana sana majungu kinikumbuka Kesi ya KDCU na KARAGWE ESTATES ni kazi sana
 
Back
Top Bottom