Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Huku ni kuendekeza shida na dhiki, mtu wa namna hii hujiona yeye ndo ana shida, matatizo na maisha magumu kuzidi wenzake. Haya ndo matokeo yake. Hutanguliza tamaa mbele kuliko matumizi ya akili.Kuna jama alitafuta kazi kwa siku nyingi ni kamfanyia mpango akapata kibarua cha ulinzi shule ya wasichana mshahara wake ukawa 350k kwa mwezi, akapiga kazi kwa wiki tatu, wiki ya nne mkurugezi akamuagiza aende akanunue kopo la ragi moja kupaka getini akampa 28,000. Jama akakimbia mazima na pesa sh 28000, wakati mshahara wake ulikua umebakiza siku saba tu alipwe, kama sio laana ni nini hiyo?
Usijibizane na watu wenye laana mkuu! Hivi we msagaji au shoga unamuona ana akili timamu?! Au mtu anaesapoti watu wa namna hiyo na kuwatetea kuwa kufanya kwao uovu huo, ushetani na dhambi ni haki we unamuonaga ana akili?! 😀Mkuu sio story hili nalishuhudia mwenyewe na nahusika kabisa, achana kitu laana ni hatari sana kwa binaadamu.
Mkuu mtu mwenye laana ajitabui akitenda wengine ndo wanaona kwamba huyu kalaaniwaHuku ni kuendekeza shida na dhiki, mtu wa namna hii hujiona yeye ndo ana shida, matatizo na maisha magumu kuzidi wenzake. Haya ndo matokeo yake. Hutanguliza tamaa mbele kuliko matumizi ya akili.
Naunga mkono hojaKama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Usijishaulishe zile chats zako unazotongoza wanaume wenzio zimevuja [emoji23]Usijibizane na watu wenye laana mkuu! Hivi we msagaji au shoga unamuona ana akili timamu?! Au mtu anaesapoti watu wa namna hiyo na kuwatetea kuwa kufanya kwao uovu huo, ushetani na dhambi ni haki we unamuonaga ana akili?! [emoji3]
Usingemjibu mkuu
Alizingua sana huyo mwamba,Mkuu sio story hili nalishuhudia mwenyewe na nahusika kabisa, achana kitu laana ni hatari sana kwa binaadamu.
kwa utetezi huu, naunga mkono hoja.!Kuna jama alitafuta kazi kwa siku nyingi ni kamfanyia mpango akapata kibarua cha ulinzi shule ya wasichana mshahara wake ukawa 350k kwa mwezi, akapiga kazi kwa wiki tatu, wiki ya nne mkurugezi akamuagiza aende akanunue kopo la ragi moja kupaka getini akampa 28,000. Jama akakimbia mazima na pesa sh 28000, wakati mshahara wake ulikua umebakiza siku saba tu alipwe, kama sio laana ni nini hiyo?
😀😀 Huoni 28000 kwa siku ni kubwa bila kufanya kazi labda hiyo kukimbia tuKuna jama alitafuta kazi kwa siku nyingi ni kamfanyia mpango akapata kibarua cha ulinzi shule ya wasichana mshahara wake ukawa 350k kwa mwezi, akapiga kazi kwa wiki tatu, wiki ya nne mkurugezi akamuagiza aende akanunue kopo la ragi moja kupaka getini akampa 28,000. Jama akakimbia mazima na pesa sh 28000, wakati mshahara wake ulikua umebakiza siku saba tu alipwe, kama sio laana ni nini hiyo?
umeongea jamaa la maana sana ndg yangu.Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Pambana mkuu , waliofanikwa wengi wameanzia chini , kidogo kidogo wakanyanyuka , Sasa wewe kama unashindwa kufanya biashara ndogo ndogo na kuanza kulalamika kama unavyolalamika hapa , tambua Bado unasafari ndefu mkuu , hakuna mtu atakayekuja kukukwamua ,na chanzo cha umasikini bongo yetu ni ukosefu wa ajira na uwezeshaji kwa vijana ndio maana wengi wetu tunakula ukoko mtaani.
pili udini na kujuana/connection shida kinoma noma tunafukuzia michongo wanapewa kina makame pekee.
nimekusoma motivational speaker,Pambana mkuu , waliofanikwa wengi wameanzia chini , kidogo kidogo wakanyanyuka , Sasa wewe kama unashindwa kufanya biashara ndogo ndogo na kuanza kulalamika kama unavyolalamika hapa , tambua Bado unasafari ndefu mkuu , hakuna mtu atakayekuja kukukwamua ,
Nahisi hapa watanzania wengi ndio tunapofeli kwenye suala la kulalamika
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hakuna tusi kubwa kama umasikini. Hupendwi. HupendekiKama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini, pease do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikio, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Utajiri unapimwa kwa gari? MmhLaana inatafuna watu kama nini mchungeni ukoo mnako oa kuna koo kwao kumiliki gari ni marufuku, na utajiri bila gari ni sawa sawa na umasikini.....
[emoji3][emoji3]Utajiri unapimwa kwa gari? Mmh