Wanajamii,hv kuna matatizo yoyote yanayoweza kumkuta mtu mbeleni especially akioa mapema? Nauliza hivi manake kuna mdogo wangu wa baba mkubwa 17yrs old ameamua kuoa. Is he really matured enough? Afu bint allomchukua it looks like she's older than him. Baada ya kukomaa sana watu wameamua kumpa vimilio kadhaa vya mtaji aanze maisha. Was was wangu ataweza kujilea yeye na huyo mwenza wake?
17 years?Bongo?
He is so young na hiyo ndoa ataichoka mapema because they will be growing apart
Huyo lazima atakua maeneo ya kijijini I guess,17 years town angekua ana persue elimu(form four)
Kama wana match, watawashangaza sana, watadumu na upendo utakua. Ni tabia ya maisha kuruhusu urahisi fulani wa mambo kwa wenye nia.
Nampongeza na Kumuombea.
17 years?Bongo?
He is so young na hiyo ndoa ataichoka mapema because they will be growing apart
Huyo lazima atakua maeneo ya kijijini I guess,17 years town angekua ana persue elimu(form four)
They will be growing apart indeed...ila kuna wanaosema kuwa kufanikiwa kimaisha si kupitia shule pekee. Labda he's matured enough to handle,watu tunazaliwa tofauti. Enzi za babu zetu waliweza...wakati wetu huu majanga.
ni kumwomba MUNGU wadumu kwenye mahusiano ...ni kwel ndo hazijatulia siku iz..sio vibaya mkawajenga kisaikolojia .. of course pesa si ndoa hata kama msingewapa hata senti moja bado wangeweza ku sustain maisha. ni kujipanga kimaamuz
Mimi mwenyewe nlivoambiwa kuhusu uhitaji wake wakuoa nkaona ni ujinga. Nlivompigia majibu alonipa niyakuleteana lawama badae. Anasema hatakuwa salama kungoja kwan magonjwa ni mengi. Sasa mtu akiingia huko inabidi umuache manake yakitokea kama alivosema lawama kwa wengine kwa kumkataza.