Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 5,788
- 11,885
Leo leo kazi ipoMbona kashika kama embe😂View attachment 3718105
Leo leo kazi ipoMbona kashika kama embe😂View attachment 3718105
Nimeshawapima wote wako sawaNa kote uko una Romba kavu
Upungufu wa Kinga Mwilini hauwezi kukuacha salama.
Halafu umemkimbia admin siyo? Kweli watu hamna shukraniMbona kashika kama embe😂View attachment 3718105
Hizo ndio naona sifa za kutajirika wanasema humu eti....😝Mfano mm sio mnywaji sana wa pombe sio mpenzi sana wa mazoezi au mpira napenda sana labda road trip na movies
Kanikalisha masaa manne ndio nikaweza kunywa chai, shenzi sana!Halafu umemkimbia admin siyo? Kweli watu hamna shukrani
Yaani mi mwenyewe sina sababu ya kurudipo hana maana tenaKanikalisha masaa manne ndio nikaweza kunywa chai, shenzi sana!
Suleiman alikuwa na wake 700 na michepuko 300 na hajaomba ushauri, wewe unakwama wapi?
Mbona yule boss wa Nvidia alikuwa na michepuko kama yote na ana kila kituHuwezi kuwa na mafanikio ya kushangaza sana kama vile kuwa tajiri ukiendelea hivyo.
Kwenye kitabu cha The Millionaire next door kilichoandikwa na Dr. Thomas Stanley, anasema asilimia kubwa ya Millionaires aliyowafanyia interview wana mke mmoja na hawajawahi kuwaza ku_remarry again wala kuwa na michepuko.
Wao pia wana wapenz wao mbali ya wewe nao wana Romba dry yaan wapenz wa5 afu kila mmoja Ana gawa utamu kwa watu wasio pungua 3 na hao wa3 nao wana wapenz wao afu una endelea kusema wako safe bwana mdogo usituchekeshe hapa.Nimeshawapima wote wako sawa
Khaaaa astaghfullahUsimtishe mwenzio aiseee...View attachment 3718106
Nashukuru So far huu ndio ushauri bora kabisa nimepokeaMoyo wa mwanaume Ulivyo.
Ni ngumu sana kumuacha mwanamke ambaye ni mtiifu kwako.
Na huo utiifu wanakuonyesha kwasababu ya hela. Na wala sio kuwa ww ni Handsome sana au unajua kufanya na wakaridhika. Au una maajabu zaid ya wanaume ambao wameshawah kukutana nao.
Bali ni Sasampa unazowapa.
Suluhisho la uhakika ni moja.
Jifanye umefirisika au kaza moyo hata kama hela unazo. Ila acha kuwatunza hao wanawake wa nje.
Atakayeweza kuvumilia kwa mwaka mzima bila ww kumpa support ndio ubaki naye. Atakuwa kauvuka mtihani mgumu.
Lasivyo. Kwasababu hela iko. Baada ya miez 6 wataongezeka na kuwa michepuko 8.
Mkishanwaga mnadharau! Zile sifa umemimina pale kumbe unafki🫢Yaani mi mwenyewe sina sababu ya kurudipo hana maana tena
Yaani mpaka nimeleta hii mada wiki hii tu imenitoka kama 7m na bado Dec haijafikaHizo ndio naona sifa za kutajirika wanasema humu eti....😝
ZAENIUsiache mtu nyuma mkuu nenda nao sambamba, ikibidi kila mmoja mtie mimba kabisakabisa tayari kwa lolote😎
Hata huyo wa ndani mmoja anaweza kutoa huko nje ukapata maambukiziWao pia wana wapenz wao mbali ya wewe nao wana Romba dry yaan wapenz wa5 afu kila mmoja Ana gawa utamu kwa watu wasio pungua 3 na hao wa3 nao wana wapenz wao afu una endelea kusema wako safe bwana mdogo usituchekeshe hapa.
😄😊🤣😀📌🔨Kabla ya kuanza huo umalaya ulituomba ushauri?
Endelea na maisha uliyo yachagua,tuna mambo mengi ya kujadili.
Kama yapi tushirikishane mkuuKabla ya kuanza huo umalaya ulituomba ushauri?
Endelea na maisha uliyo yachagua,tuna mambo mengi ya kujadili.
Boss wa NVIDIA ni kama Mimi tuu ana kamchepuko kamoja tuu, tatizo ni kashushushu ndo maana kalimketea shida yote Ile.S
Mbona yule boss wa Nvidia alikuwa na michepuko kama yote na ana kila kitu