Umalaya umenishinda, naachaje?

Umalaya umenishinda, naachaje?

Credio

Senior Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
115
Reaction score
223
Habari za muda kidogo wana jf. Kiukweli kabisa nimechoka umalaya je nawezaje kuacha
Kiufupi mi ni Me nina familia na iko vizuri kabisa maana nina hudumia na I inapata mahitaji yote pamoja na miradi mbali mbali inaenda.

Ila sasa nimejikuta niko kwenye mahusiano mengine na wapenzi zaidi ya 5, 1 ni wa chuo pisi kali binti dogo dogo ambaye nimempangishia nahudumia pamoja na kausafiri, 2 ni cooperate baddies aiseee hawa wamepanga apartments ila sasa kisanga changamoto zao wakiomba hela ni zile nzito nzito ila wako good sana kwenye kujali, 1 ni mtaasisi kitengo na ni mzito kunako gavoo huyu huwa tunasortiana mambo mbalimbali na hata mipango ya kimaendeleo yuko vizuri na anajua nina familia na wa mwisho yuko mtaani ni mfanya biashara tu wa kati ni mtu mwenye mipango Safi na vision kubwa na anajua nini anataka na kwa wakati gani changamoto yake ni kwamba anataka tuwe na familia na mm sihitaji hilo na yeye ingawa ana sifa zote za kuwa mke mtiifu na anasema kanipenda anataka tujenge familia hata kama nina familia

Shida yangu nataka nipunguze hapo walau nibaki hata na mchepuko mmoja ila sasa wote mi nawapenda sana nifanyeje ili nipunguze
 
Usiache mtu nyuma mkuu nenda nao sambamba, ikibidi kila mmoja mtie mimba kabisakabisa tayari kwa lolote😎
Naunga mkono hoja sana, asikae kizembe....😋
downloadfile-30.jpg
 
Habari za muda kidogo wana jf. Kiukweli kabisa nimechoka umalaya je nawezaje kuacha
Kiufupi mi ni Me nina familia na iko vizuri kabisa maana nina hudumia na I inapata mahitaji yote pamoja na miradi mbali mbali inaenda.

Ila sasa nimejikuta niko kwenye mahusiano mengine na wapenzi zaidi ya 5, 1 ni wa chuo pisi kali binti dogo dogo ambaye nimempangishia nahudumia pamoja na kausafiri, 2 ni cooperate baddies aiseee hawa wamepanga apartments ila sasa kisanga changamoto zao wakiomba hela ni zile nzito nzito ila wako good sana kwenye kujali, 1 ni mtaasisi kitengo na ni mzito kunako gavoo huyu huwa tunasortiana mambo mbalimbali na hata mipango ya kimaendeleo yuko vizuri na anajua nina familia na wa mwisho yuko mtaani ni mfanya biashara tu wa kati ni mtu mwenye mipango Safi na vision kubwa na anajua nini anataka na kwa wakati gani changamoto yake ni kwamba anataka tuwe na familia na mm sihitaji hilo na yeye ingawa ana sifa zote za kuwa mke mtiifu na anasema kanipenda anataka tujenge familia hata kama nina familia

Shida yangu nataka nipunguze hapo walau nibaki hata na mchepuko mmoja ila sasa wote mi nawapenda sana nifanyeje ili nipunguze
Suleiman alikuwa na wake 700 na michepuko 300 na hajaomba ushauri, wewe unakwama wapi?
 
Hakuna aliyewahi kufanikiwa kwa kuendekeza ngono mkuu. Kwa style hiyo hutaweza kununua hata kijiko. Yawezekana una kila kitu au una pesa lakini ukuaji wa kweli ni ule unaoongezeka na siyo kubakia palepale bila kupiga hatua
Mjomba nimekamilisha vitu vyote vya mahitaji ya msingi ya kibinadamu na mengineyo ambayo aslimia 95 ya watanzania pengine wasiyafikie unasemaje siwezi kufika
 
Habari za muda kidogo wana jf. Kiukweli kabisa nimechoka umalaya je nawezaje kuacha
Kiufupi mi ni Me nina familia na iko vizuri kabisa maana nina hudumia na I inapata mahitaji yote pamoja na miradi mbali mbali inaenda.

Ila sasa nimejikuta niko kwenye mahusiano mengine na wapenzi zaidi ya 5, 1 ni wa chuo pisi kali binti dogo dogo ambaye nimempangishia nahudumia pamoja na kausafiri, 2 ni cooperate baddies aiseee hawa wamepanga apartments ila sasa kisanga changamoto zao wakiomba hela ni zile nzito nzito ila wako good sana kwenye kujali, 1 ni mtaasisi kitengo na ni mzito kunako gavoo huyu huwa tunasortiana mambo mbalimbali na hata mipango ya kimaendeleo yuko vizuri na anajua nina familia na wa mwisho yuko mtaani ni mfanya biashara tu wa kati ni mtu mwenye mipango Safi na vision kubwa na anajua nini anataka na kwa wakati gani changamoto yake ni kwamba anataka tuwe na familia na mm sihitaji hilo na yeye ingawa ana sifa zote za kuwa mke mtiifu na anasema kanipenda anataka tujenge familia hata kama nina familia

Shida yangu nataka nipunguze hapo walau nibaki hata na mchepuko mmoja ila sasa wote mi nawapenda sana nifanyeje ili nipunguze
Waz

Ushauri wangu kuntu ni huu .

Wazalishe wote kwanza ndio tuanze kukushauri namna ya kuishi nao.

Usipo fanya hivyo utakuja kujuta baadaye!!
 
Unaacha kwa kuamua tu

Maamuzi ni yako, pia Ibada iwe kipaumbele kwako au utafute kitu kingine kiwe 1st Priority kwako badala ya Ngono Mfano michezo, mazoezi n.k

Acha company inayokuassociate na ngono/umalaya kama ipo

Get youself busy with productive things
Mfano mm sio mnywaji sana wa pombe sio mpenzi sana wa mazoezi au mpira napenda sana labda road trip na movies
 
Habari za muda kidogo wana jf. Kiukweli kabisa nimechoka umalaya je nawezaje kuacha
Kiufupi mi ni Me nina familia na iko vizuri kabisa maana nina hudumia na I inapata mahitaji yote pamoja na miradi mbali mbali inaenda.

Ila sasa nimejikuta niko kwenye mahusiano mengine na wapenzi zaidi ya 5, 1 ni wa chuo pisi kali binti dogo dogo ambaye nimempangishia nahudumia pamoja na kausafiri, 2 ni cooperate baddies aiseee hawa wamepanga apartments ila sasa kisanga changamoto zao wakiomba hela ni zile nzito nzito ila wako good sana kwenye kujali, 1 ni mtaasisi kitengo na ni mzito kunako gavoo huyu huwa tunasortiana mambo mbalimbali na hata mipango ya kimaendeleo yuko vizuri na anajua nina familia na wa mwisho yuko mtaani ni mfanya biashara tu wa kati ni mtu mwenye mipango Safi na vision kubwa na anajua nini anataka na kwa wakati gani changamoto yake ni kwamba anataka tuwe na familia na mm sihitaji hilo na yeye ingawa ana sifa zote za kuwa mke mtiifu na anasema kanipenda anataka tujenge familia hata kama nina familia

Shida yangu nataka nipunguze hapo walau nibaki hata na mchepuko mmoja ila sasa wote mi nawapenda sana nifanyeje ili nipunguze
Huwezi kuwa na mafanikio ya kushangaza sana kama vile kuwa tajiri ukiendelea hivyo.

Kwenye kitabu cha The Millionaire next door kilichoandikwa na Dr. Thomas Stanley, anasema asilimia kubwa ya Millionaires aliyowafanyia interview wana mke mmoja na hawajawahi kuwaza ku_remarry again wala kuwa na michepuko.
 
Back
Top Bottom