Umakini katika vipimo vya mabondia wetu

Umakini katika vipimo vya mabondia wetu

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
untitled.png

Bondia Maneno Osward akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na mpinzani wake Rashid Matumla. Kulia ni katibu wa PST, Antony Lutta.
2.JPG



Bondia Mbwana Matumla akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kugombea ubingwa wa UBO na Fransic Miyayusho.


 
Hujasomeka mkuu. Umakini wa kupima uzito kwa mabondia wetu umekuwaje? Hawako makini au wako makini?
 
Ngoshwe kuna aina nyingi za vipimio. La muhimu ni usahihi wa matokeo ya kupima bila kujali aina ya kipimio.
 
uyo jamaa wa kwanza mzeee, aliye choka, aliwahi kupigwa ngumi nyingi sana za uso na matumla mkubwa hadi nilimwonea huruma, ni sugu huyo jamaa, yaani alipigwa nyingi lakini ni mvumilivi sana wa kupigwa.
 
Huyo jamaa wa picha ya kwanza kama anahitaji sidiria...
 
Ivi ni kwanini kila mmoja ameinua mikono kama ile picha ya konyagi? kuna ulazima gani au ni kuiga waanzilishi wa ngumi?
Kwani usipoinua mikono na kukaza mwili kutaathiri vipi uzito?
 
Njaaa mbaya,wamechoka,waache kunywa gongo,wale msos wa kutosha na mazoezi
 
Back
Top Bottom