Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

. View attachment 1000790View attachment 1000791

Jr
Kwenye kitabu hicho husika wanawake walikuwa wanauliwa hisia zao za upendo kwa njia ya ajabu mno
Kwanza wanawekwa kwenye jumba la kifahari mno na kupewa huduma zote muhimu kasoro ngono, na hawawezi hata kusagana kwakuwa kila mtu anakuwa kwenye chumba chake pekeyake
Halafu kila wiki wanawekwa kwenye swimming pool nzuri mno wakiwa uchi kabisa halafu wanaletewa wanaume mahanithi waliohasiwa
Kwahiyo pamoja na hamu zao zote lakini hakuna wa kuwatimizia... Hii hali inaendelea hivyo mpaka wanawaona wanaume ni kama wao tu...
Training za kuwaua kihisia ni nyingi na wanapothibitishwa kuiva huanza Sasa kufundishwa ujasusi... Na watafanya kile watakachoelekezwa tu
Umetisha sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu tupe udambwi udambwi alicho kizungumza....
Inawezekana kabisa ukaishi nae na usijue ila kama tu utakuwa kilaza upande mambo ya kijasusi ....kuna demu nilikuwa nae kipindi fulani nikamstukia kuna siku nikataka kujua ukweli ...nikambana kuwa anafanya Kazi gani na pia nikawa namwambia kuwa atakuwa kahaba anajiuza,basi ikamuuma sana ndo akafunguka yy ni nani hasaa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa mkuu, kuna mmoja nlidumu nae kwa zaidi ya miaka miwili but I knew her that ni wa mjengoni bila yeye kujua. Siku ananiambia nikajitambulishe kwao amechoka kuishi kama mrupo nikamwambia "wewe ungeolewa na xxxx (jina LA spy mwenzie tena kozi moja) ingekuwa vizuri na ingekurahisishia kazi zako". Nlivotoka kazin sikumkuta mpaka Leo na namba alibadili.
 
Back
Top Bottom