Umahiri wa Waandishi na Media zetu uko wapi?

Umahiri wa Waandishi na Media zetu uko wapi?

Bae, I couldn't agree more to your points..

We have a very lazy workforce in the industry. I am afraid to say in every workplace. This has to change.

I totally agree with your point on support from bosses. They should really invite and embrace creativity and versatility.

Kuna watu makazini humu wana vipaji sana na wanapenda kujaribu mambo mapya ila wanakutana na vikwazo kutoka kwa mafogo... Inaonekana kuna maboss wanaogopa kujaribu au wanaogopa idea ya mfanyakazi wa chini yake ikiblow up basi nafasi yake itapokwa. Selfishness.

Halafu bae uko smart sana. I will come and re-marry.

Spot on!
'Lazy Workforce'
Na hii I think ni from the top level with their selfishsness and insecurities, to the down level. Don't know who to blame B.

Bae your last comment tho.
You so sweet, Much Appreciation!
🙏🙏❤
 
Kingine; Tanzania ndio kaka mkubwa wa Afrika Mashariki kwa umri, nafasi na hata mitaji? Inabidi awe mfano kwa kila jambo!

Imagine right, with all that we have, but we're not doing our thang..

Hakika. Ndio maana nikamtaja Charles Hillary kama mfano. Huyu na wengine wa mfano wake wanaweza kufanya wonders kwenye media industry kuzidi hata wanavyofanya wenzetu hapa EA.

Na hapa ndo tunaona where the main problem is. Sasa Pros kama Charles akichukuliwa lightly what should we expect?!
Mfumo pia is the main problem.

I think it was so smart of Azam to hire him, right after he finished with BBC.
 
Spot on!
'Lazy Workforce'
Na hii I think ni from the top level with their selfishsness and insecurities, to the down level. Don't know who to blame B.

Bae your last comment tho.
You so sweet, Much Appreciation!
🙏🙏❤

Lazima tukubali kubadilika..Hakuna kingine B..

Thank you for the compliment. You are adorable!
 
Imagine right, with all that we have, but we're not doing our thang..

Na hapa ndo tunaona where the main problem is. Sasa Pros kama Charles akichukuliwa lightly what should we expect?!
Mfumo pia is the main problem.

I think it was so smart of Azam to hire him, right after he finished with BBC.
Naam. Na mtu kama Charles huenda ni wameshindwa kumtumia au wanamlimit.. Unajua kwenye hizi kampuni zetu za kibongo bongo kuna business theories zinawahold back waendeshaji wengi.. Ukija na idea mpya unaambiwa it's not working in the real world... Haipo kwenye mipango.. Blah blah! Too much calculations..
 
Nimetazama makala iliyoandaliwa na Citizen TV ya Kenya kwa Dkt. Reginald Mengi. Nikajisikia vizuri na vibaya kwa wakati mmoja.. Mixed feelings.. Excited and Disappointed.

Media zetu zinafocus kwenye mambo ya siasa tu ambako nako hakuna jipya.. Hivi tunakosa ubunifu mdogo kama huu kweli? Hii makala imefanywa poa sana na kwa kiwango cha kuvutia. Mzee Mengi is very simple and cooperative... Makala imefanyikia nyumbani kwake kiroho safi..

Mimi ni mdau wa Media.. Naumia sana nikiona Tanzania hatufanyi vizuri eneo hili wakati tuna rasilimali za kutosha sana.. Isitoshe watanzania ni watazamaji wazuri wa vitu vya kwao.. Huu ni mtaji tosha..

Tuna watu mashuhuri kibao ambao watu wangependa kuwafuatilia story zao kwa mtindo huu wa makala..

Youngest Billionaire wa Afrika, Mohammed Dewji MO anatokea Tanzania na kwa bahati nzuri jamaa yuko very humble and accessible.. Mpaka leo sijaona content yoyote iliyofanywa na media zetu kwa mtu kama Maxence Melo ambaye mchango wake umetambuliwa mpaka na Rais Buhari wa Nigeria hivi majuzi.. Tunao akina Flaviana Matata wanafanya mambo makubwa huko duniani, Mbwana Samatta na wengine lukuki.. Hizi ni hela ujue?

Wakenya wanatuzidi maarifa sehemu ndogo ndogo kama hizi.. Kwenye burudani Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kama sio Afrika kwa ujumla.. Sio filamu na muziki pekee.. Kila idara ya burudani tuko vizuri kwa kiasi kikubwa.. Hizi ni hela ambazo media zinashindwa kuzifikia.. Hatuna maarifa?

Siamini kama media zetu zimeishiwa ubunifu wa kutengeneza contents wakati kuna soko la kutosha tu.. Najua kabisa tuna wabunifu hawashindwi kuandaa makala za namna hii.. Tatizo liko wapi?!

Natoa wito kwa Media zibadili namna ya kufikiri.. Biashara haipo kwenye kufanya news coverage and reporting pekee.. Content kama hizi zinaongeza viewership na zinalipa sana..
Mkuu, huyo mwadishi Jeff Koinange ni next level, wakati akinya kazi CNN alifanya coverage moja akiwa kwenye kambi ya al-shabab akaelezea namna gani Nigeria inajihusisha na Ugaidi, wakalalamika umoja wa mataifa kisha akatimuliwa kazi.

Angalia kazi za Mohamed Ally wa Jicho pevu, utajua kabisa Tanzania akili empty, waandishi wanasoma vyuo kama TSJ, chuo kipo Jengo la CCM mkoa halafu ndo wanaajiriwa kwa kuwa ni cheap, wanachwa ma nguli, nao wakija kupata kwakuwa wamesota mtaani wanachumia tumbo tu.

Wenye weledi kama akina Tido Muhando walijaribu kufanya mapinduzi lakini mpaka leo sijui kama kesi yake ameshinda au la. Pamoja na yote kuna sababu za kisiasa zinafifisha vichwa vya waandishi wetu.

Nemo judex in causa sua
 
Attachments

  • 1545067057092.jpeg
    1545067057092.jpeg
    4.4 KB · Views: 17
Naam. Na mtu kama Charles huenda ni wameshindwa kumtumia au wanamlimit.. Unajua kwenye hizi kampuni zetu za kibongo bongo kuna business theories zinawahold back waendeshaji wengi.. Ukija na idea mpya unaambiwa it's not working in the real world... Haipo kwenye mipango.. Blah blah! Too much calculations..

..Aseh, and that's the most discouraging thing. Yaani mtu unakatishwa tamaa asubuhi.
Eti it's not working in the real world, but how do they know it won't work if they don't even try..like we're that much 'Closed-In'

Na tukienda upper level ambako pia kuna vibano, how do they expect mtu Kutoka kama wanabana kila kona..
As you said, it took President Buhari to recognise Max Internationally (In a literal manner)
It had to come from the Outside, instead of the Inside. That explain everything.
 
Mkuu, huyo mwadishi Jeff Koinange ni next level, wakati akinya kazi CNN alifanya coverage moja akiwa kwenye kambi ya al-shabab akaelezea namna gani Nigeria inajihusisha na Ugaidi, wakalalamika umoja wa mataifa kisha akatimuliwa kazi.

Angalia kazi za Mohamed Ally wa Jicho pevu, utajua kabisa Tanzania akili empty, waandishi wanasoma vyuo kama TSJ, chuo kipo Jengo la CCM mkoa halafu ndo wanaajiriwa kwa kuwa ni cheap, wanachwa ma nguli, nao wakija kupata kwakuwa wamesota mtaani wanachumia tumbo tu.

Wenye weledi kama akina Tido Muhando walijaribu kufanya mapinduzi lakini mpaka leo sijui kama kesi yake ameshinda au la. Pamoja na yote kuna sababu za kisiasa zinafifisha vichwa vya waandishi wetu..

Na kwa nchi kama zetu, professional ya habari ilitakiwa kuwa a booming business..

The more the issues, the more the material.
 
..Aseh, and that's the most discouraging thing. Yaani mtu unakatishwa tamaa asubuhi.
Eti it's not working in the real world, but how do they know it won't work if they don't even try..like we're that much 'Closed-In'

Na tukienda upper level ambako pia kuna vibano, how do they expect mtu Kutoka kama wanabana kila kona..
As you said, it took President Buhari to recognise Max Internationally (In a literal manner)
It had to come from the Outside, instead of the Inside. That explain everything.

Nadhani tuna tatizo moja kubwa.. We don't compete internally as well as externally.. Tupo tupo tu.. Internal competition haipo kubwa kivile coz mostly watu wanakopiana... External ndio kabisaaa... Yaani hakuna ile media vs media battle kati ya Bongo na let's Kenya..

We must have a competitive mind.. That way tutabadilika na kutoboa na kuacha magumashi!
 
Jambo usilolijua ni kwamba vyombo vingi vya habari vinakua na ajenda zake pindi tu vinapo asisiwa..Mf.Kamwe hutokuja kuona habari za Manji au Rostam kwa Ipp..leo hii kijana ume struggle umepata ajira kwenye kituo flani ukiwasilisha mawazo yako ambayo ni kinyime na ajenda ya kituo husika usitarajie wazo hilo kufanyiwa kazi..najua nachokisema hapa! Yaliwahi nikuta mahali, niliulizwa weee una ng'ang'ania kuhusu kufanya jambo na mtu fulani hiki kituo baba yako alikianzisha? Nikaotishiwa tishiwa kufukuzwa..nikaona isiwe tabu nikapotezea..kuwalaumu waandishi ambao kimsingi ni waajiriwa tu unakua hutendi haki kwakua hujui nini wanakumbana navyo na huwa hawasemi hadharani (Rejea uzi wa kucheleweshewa malipo the guardian kwa miezi 3!) Au wengi wenu niliona mnapiga piga kelele kuhusu ipp kumpotezea bashite kipindi kile cha issue ya clouds lakini ukweli ni kwamba bw.daudi aliwafukuza kwa kuwadhalilisha reporters wa Itv kwenye moja ya mikutano yake..au unajua kua jiwe alikua anafuatilia kila habari Itv na Mf.ilitokea mwandishi aliwahoji wananchi huko mbagala na kule arusha kuhusu migogoro na muda huo huo anampigia mkurugenzi kuhusu mantiki ya habari fulani (yeye aliita serikali yake kuchonganishwa).. Inshort yapo mengi..leo hii unaanzaje kurusha mahojiano ya labda ya manji ambaye kwenye one to one interview hua anaongea nonsense??

Hakuna watu wanaopitua mengi magumu mazito na yenye siri kama wanahabari..
Mtu kama Jeff Koinange kuipata hiyo nafasi wala sishangai! Hana impact kwenye ushindani wa soko la ndani..kwani hata uzinduzi wa studio za Azam uliofanywa na JK ulirushwa vituo gani zaidi ya Azam two na clouds pia kupata slot Tbc habari? Pasko nisaidie kuliweka sawa hili..naona wanachonga ngenga tu!
Jiwe babana
[emoji23] anasumbua sana na ni multi professional
Hadi editing anajua kumbe
 
Nadhani tuna tatizo moja kubwa.. We don't compete internally as well as externally.. Tupo tupo tu.. Internal competition haipo kubwa kivile coz mostly watu wanakopiana... External ndio kabisaaa... Yaani hakuna ile media vs media battle kati ya Bongo na let's Kenya..

We must have a competitive mind.. That way tutabadilika na kutoboa na kuacha magumashi!

Yaap!, True.
And I think this's how major media organizations survive, with that competitive mind. With all the competition out there, but they still get to stay on top, respectively.

Na sasa competition is even bigger with the Social Media.
Anyone, can start anything, anywhere, and at any given time.
 
15:50
View attachment 970693
Hubert Kairuki Memorial University 1st Convocation TV Special Program
YouTube - Dec 4, 2018
5:38
View attachment 970694
Hubert Kairuki Memorial University 1st Convocation and 16th Graduation ...
YouTube - Nov 29, 2018
2:29:15
View attachment 970696
HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNIVERSITY CONVOCATI5:57
View attachment 970695
HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNIVERSITY CONVOCATION 2018 ...
Visited on 11/29/18
YouTube - Nov 30, 2
View attachment 970697
16 GRADUATION CEREMONY HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNIVERSITY 2018
YouTube - Dec 1, 2
View attachment 970698
HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNIVERSITY CONVOCATION 2018 ...
YouTube - Nov 30,
Sawa asante sana nimeona mkuu, nilifiatilia uzi sikuona hizi lakini.
 
You have a point... ila kwa hapa kwetu kufanya makala kama hizo hakuna ugumu...

Tatizo ni kwamba ni media ipi za hapa nchini utazirusha hizo makala...

Cc: mahondaw
 
Yaap!, True.
And I think this's how major media organizations survive, with that competitive mind. With all the competition out there, but they still get to stay on top, respectively.

Na sasa competition is even bigger with the Social Media.
Anyone, can start anything, anywhere, and at any given time.
You nailed it, babe.
 
Back
Top Bottom