Umahiri wa Waandishi na Media zetu uko wapi?

Wanahabari wengi Tanzania like 80% ni failures..

Wanawake wengi wamepata kazi hizo kwa kushushwa ****i.. Wanaume wapo ktk media hizo either wamewekwa kindugu au wamehonga..

20% ya wanahabari wanaobaki ambao ni mahiri ndo hawa sasa wakina Paschal ambao wako kama ma freelancer au maconsultants...

Asilimia hii chache wanachukuliwa wanaenda kwenye siasa na madaraka ya kiutawala... Akina Mkamia,, Gondwe., Muro...

Wengine wazuri wanaibwa na vyombo vya nje...mnawajua.
Wengine wamekuwa wasaliti na wamekuwa wanahabari wa CCM kwa mfano Ryoba(msomi mzuri kabisa). Wasiotaka kuifanyia kaxi ccm tizama shuruba wanazokutana nazo.

Kwahiyo mtoa mada tatizo si kwamba Tanzania waandishi wenye uwezo kama hao wa Kenya hawapo... Tatizo ni SISIEM.
 
Nimetazama makala iliyoandaliwa na Citizen TV ya Kenya kwa Dkt. Reginald Mengi. Nikajisikia vizuri na vibaya kwa wakati mmoja.. Mixed feelings.. Excited and Disappointed.

Media zetu zinafocus kwenye mambo ya siasa tu ambako nako hakuna jipya.. Hivi tunakosa ubunifu mdogo kama huu kweli? Hii makala imefanywa poa sana na kwa kiwango cha kuvutia. Mzee Mengi is very simple and cooperative... Makala imefanyikia nyumbani kwake kiroho safi..

Mimi ni mdau wa Media.. Naumia sana nikiona Tanzania hatufanyi vizuri eneo hili wakati tuna rasilimali za kutosha sana.. Isitoshe watanzania ni watazamaji wazuri wa vitu vya kwao.. Huu ni mtaji tosha..

Tuna watu mashuhuri kibao ambao watu wangependa kuwafuatilia story zao kwa mtindo huu wa makala..

Youngest Billionaire wa Afrika, Mohammed Dewji MO anatokea Tanzania na kwa bahati nzuri jamaa yuko very humble and accessible.. Mpaka leo sijaona content yoyote iliyofanywa na media zetu kwa mtu kama Maxence Melo ambaye mchango wake umetambuliwa mpaka na Rais Buhari wa Nigeria hivi majuzi.. Tunao akina Flaviana Matata wanafanya mambo makubwa huko duniani, Mbwana Samatta na wengine lukuki.. Hizi ni hela ujue?

Wakenya wanatuzidi maarifa sehemu ndogo ndogo kama hizi.. Kwenye burudani Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kama sio Afrika kwa ujumla.. Sio filamu na muziki pekee.. Kila idara ya burudani tuko vizuri kwa kiasi kikubwa.. Hizi ni hela ambazo media zinashindwa kuzifikia.. Hatuna maarifa?

Siamini kama media zetu zimeishiwa ubunifu wa kutengeneza contents wakati kuna soko la kutosha tu.. Najua kabisa tuna wabunifu hawashindwi kuandaa makala za namna hii.. Tatizo liko wapi?!

Natoa wito kwa Media zibadili namna ya kufikiri.. Biashara haipo kwenye kufanya news coverage and reporting pekee.. Content kama hizi zinaongeza viewership na zinalipa sana..
Waandishi wengi Tanzania wamejazwa upupu wa udaku tu.! Wanacho jua kuandika ni nani ana mahusiano na nani. Magufuli kafanya nini. (Its all about sex and politics) hawana uwezo wa kuwa na habari nyingine yoyote.! Ingia youtube angalia uozo wa habari zao.
Ni upumbavu mtupu.
 
Jana nilisikitikia sana Taifa langu na nilitamani kupasua TV.... ilikuwa habari ya tbc saa mbili... Juu ya serikali kuboresha shule moja nafikiri ya mkwakwani huko Tanga... Yani wale wananchi waliokuwa wanahojiwa walifundishwa kama mabata nini cha kusema...sikumfaham yule mwandishi aliyekuwa anawahoji ...
waLisema... 1. Sasa hivi shule za serikali ni nzuri zaidi nitawaleta watoto wangu shule hizi

2. " shule za serikali ni nzuri sana nitawahamisha watoto wangu wajee kusoma huku""

uso zao zikiwasuta kwa kauli zao midomoni..

Inasikitisha sana.
 
Jambo usilolijua ni kwamba vyombo vingi vya habari vinakua na ajenda zake pindi tu vinapo asisiwa..Mf.Kamwe hutokuja kuona habari za Manji au Rostam kwa Ipp..leo hii kijana ume struggle umepata ajira kwenye kituo flani ukiwasilisha mawazo yako ambayo ni kinyime na ajenda ya kituo husika usitarajie wazo hilo kufanyiwa kazi..najua nachokisema hapa! Yaliwahi nikuta mahali, niliulizwa weee una ng'ang'ania kuhusu kufanya jambo na mtu fulani hiki kituo baba yako alikianzisha? Nikaotishiwa tishiwa kufukuzwa..nikaona isiwe tabu nikapotezea..kuwalaumu waandishi ambao kimsingi ni waajiriwa tu unakua hutendi haki kwakua hujui nini wanakumbana navyo na huwa hawasemi hadharani (Rejea uzi wa kucheleweshewa malipo the guardian kwa miezi 3!) Au wengi wenu niliona mnapiga piga kelele kuhusu ipp kumpotezea bashite kipindi kile cha issue ya clouds lakini ukweli ni kwamba bw.daudi aliwafukuza kwa kuwadhalilisha reporters wa Itv kwenye moja ya mikutano yake..au unajua kua jiwe alikua anafuatilia kila habari Itv na Mf.ilitokea mwandishi aliwahoji wananchi huko mbagala na kule arusha kuhusu migogoro na muda huo huo anampigia mkurugenzi kuhusu mantiki ya habari fulani (yeye aliita serikali yake kuchonganishwa).. Inshort yapo mengi..leo hii unaanzaje kurusha mahojiano ya labda ya manji ambaye kwenye one to one interview hua anaongea nonsense??

Hakuna watu wanaopitua mengi magumu mazito na yenye siri kama wanahabari..
Mtu kama Jeff Koinange kuipata hiyo nafasi wala sishangai! Hana impact kwenye ushindani wa soko la ndani..kwani hata uzinduzi wa studio za Azam uliofanywa na JK ulirushwa vituo gani zaidi ya Azam two na clouds pia kupata slot Tbc habari? Pasko nisaidie kuliweka sawa hili..naona wanachonga ngenga tu!
Asante sana mkuu kwa kutoa mchango unaoonesha uzoefu wako ndani ya soko la media.. Naelewa ugumu wanaokumbana nao wanahabari kwenye kazi zao..Nazielewa changamoto zao pia kwa sababu kwa kiasi fulani nami nimeziishi pia..

Hata hivyo lazima tukubaliane kwamba hii migogoro ipo kwenye maslahi, hasa ya kisiasa na kibiashara.. Na ndicho ambacho nimeona ni tatizo la mindset za wadau wa media.. Wanaamini kwenye stories za aina hiyo tu ndio maana wanaishia kwenye kuzinguliwa..

Leo hii waandishi wanadhani Investigative Journalism ipo kwenye kufichua madudu ya serikali au viongozi tu.. Wanaamini kwamba kuinvestigate mambo mengine hakulipi. Hivi hatuwezi kufanya IJ kwenye ishu mbadala mfano kwenye sanaa huko?

Tubadilike.. Content zipo nyingi sana na mfano ni huo hapo juu. Zitengenezwe stories ambazo hazitobagua walaji kama zilivyo stories za siasa..
 
Waandishi wengi Tanzania wamejazwa upupu wa udaku tu.! Wanacho jua kuandika ni nani ana mahusiano na nani. Magufuli kafanya nini. (Its all about sex and politics) hawana uwezo wa kuwa na habari nyingine yoyote.! Ingia youtube angalia uozo wa habari zao.
Ni upumbavu mtupu.
Udaku sio mbaya lakini we can add value to it.. Uwe udaku wenye mashiko kiasi.. Au hata kama hauna mashiko basi angalau uwe ni udaku unaovutia kufuatilia.. Sio udaku bei poa..

Natamani hali ibadilike.. Feature stories tunazo nyingi tu na hazina conflicts.. Wadau wa media kuweni wabunifu ili mbadili narrative ya soko... Kama hatuwezi kufikiria basi angalau tuige na kuboresha kidogo kutoka kwa wenzetu.. Chabo sio mbaya kwenye mambo ya faida..
 
Wanahabari wengi Tanzania like 80% ni failures..

Wanawake wengi wamepata kazi hizo kwa kushushwa ****i.. Wanaume wapo ktk media hizo either wamewekwa kindugu au wamehonga..

20% ya wanahabari wanaobaki ambao ni mahiri ndo hawa sasa wakina Paschal ambao wako kama ma freelancer au maconsultants...

Asilimia hii chache wanachukuliwa wanaenda kwenye siasa na madaraka ya kiutawala... Akina Mkamia,, Gondwe., Muro...

Wengine wazuri wanaibwa na vyombo vya nje...mnawajua.
Wengine wamekuwa wasaliti na wamekuwa wanahabari wa CCM kwa mfano Ryoba(msomi mzuri kabisa). Wasiotaka kuifanyia kaxi ccm tizama shuruba wanazokutana nazo.

Kwahiyo mtoa mada tatizo si kwamba Tanzania waandishi wenye uwezo kama hao wa Kenya hawapo... Tatizo ni SISIEM.
Ni mindset tu.. Hakuna media itakayokataa content yenye maslahi hata kama ni nje ya zile za kisiasa.. Audience kubwa hapa Bongo inapenda flowery stories equally na audience kubwa inayopenda hizo za siasa..

Turudi kwenye meza ya tafakuri.. Tunatokaje hapo? Uhaba ni nini; ideas?!
 
Hata huyo Mengi hawezi kuonesha ushirikiano kwa media za Bongo kama alivyoonesha kwa media za Kenya.
Inawezekana ikawa ni vigumu kumpata Mengi akafunguka kama hivyo lakini hapo ndipo tunapoona power of negotiation.. Charles Hillary ni mzoefu sana, hashindwi kumuapproch mtu yeyote kufanya nae makala..

Documentaries zikifanywa vizuri na kwa namna hii zinalipa.. Nani aliwahi kufikiria Dkt. Mengi ataweza kufunguka mambo yake na K-Lynn kwa kiwango hicho?

Tubadilike!
 
Dah ningekuwa na uwezo ningefanya mkuu.. Uwezo wangu unaishia kwenye kushauri tu kwa sasa..
Halafu hapo majungu yako wapi mzee?

B I'm sure you know you can make Kushauri Lucrative.
These are excellent Ideas.
 
Ni mindset tu.. Hakuna media itakayokataa content yenye maslahi hata kama ni nje ya zile za kisiasa.. Audience kubwa hapa Bongo inapenda flowery stories equally na audience kubwa inayopenda hizo za siasa..
Turudi kwenye meza ya tafakuri.. Tunatokaje hapo? Uhaba ni nini; ideas?!

Obvious. We need more of you, to think out of the square a little more.
At the same time, the system is one of our biggest obstacle.

Mfano mzuri umegusia kujaribu kutoka upande wa Sanaa, lakini tunaweza kujaribu kufanya hivyo na kisha kukutana na mzee BASATA njiani kashika fimbo na akatuambia "Contents are not suitable for our Audience"
Halafu bila hata kujaribu kutusaidia kwa kushauri ama mawazo.
So we go back to square one.
 
Nimetazama makala iliyoandaliwa na Citizen TV ya Kenya kwa Dkt. Reginald Mengi. Nikajisikia vizuri na vibaya kwa wakati mmoja.. Mixed feelings.. Excited and Disappointed.

Media zetu zinafocus kwenye mambo ya siasa tu ambako nako hakuna jipya.. Hivi tunakosa ubunifu mdogo kama huu kweli? Hii makala imefanywa poa sana na kwa kiwango cha kuvutia. Mzee Mengi is very simple and cooperative... Makala imefanyikia nyumbani kwake kiroho safi..

Mimi ni mdau wa Media.. Naumia sana nikiona Tanzania hatufanyi vizuri eneo hili wakati tuna rasilimali za kutosha sana.. Isitoshe watanzania ni watazamaji wazuri wa vitu vya kwao.. Huu ni mtaji tosha..

Tuna watu mashuhuri kibao ambao watu wangependa kuwafuatilia story zao kwa mtindo huu wa makala..

Youngest Billionaire wa Afrika, Mohammed Dewji MO anatokea Tanzania na kwa bahati nzuri jamaa yuko very humble and accessible.. Mpaka leo sijaona content yoyote iliyofanywa na media zetu kwa mtu kama Maxence Melo ambaye mchango wake umetambuliwa mpaka na Rais Buhari wa Nigeria hivi majuzi.. Tunao akina Flaviana Matata wanafanya mambo makubwa huko duniani, Mbwana Samatta na wengine lukuki.. Hizi ni hela ujue?

Wakenya wanatuzidi maarifa sehemu ndogo ndogo kama hizi.. Kwenye burudani Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kama sio Afrika kwa ujumla.. Sio filamu na muziki pekee.. Kila idara ya burudani tuko vizuri kwa kiasi kikubwa.. Hizi ni hela ambazo media zinashindwa kuzifikia.. Hatuna maarifa?

Siamini kama media zetu zimeishiwa ubunifu wa kutengeneza contents wakati kuna soko la kutosha tu.. Najua kabisa tuna wabunifu hawashindwi kuandaa makala za namna hii.. Tatizo liko wapi?!

Natoa wito kwa Media zibadili namna ya kufikiri.. Biashara haipo kwenye kufanya news coverage and reporting pekee.. Content kama hizi zinaongeza viewership na zinalipa sana..
Dah! Nimejukuta namkumbuka Marehemu sorry, ni mateka wa Kibiti Mwandishi Azory....sipati picha angekamilisha investigation journalism aliyokuwa ana apply kule na kutuandalia Makala.....nadhani angekuwa chumvi kwa wanahabari wengine.

Any way, kuna changamoto sana ktk Media za Tanzania, hususani kwa wanahabari wa leo, Siasa zimeharibu hii Industry vibaya mno.

Ngoja tufuatilie media za nje tu, huenda tutapata kitu na kujifunza mengi huko...kwetu ubunifu umejifia kimya.....

Woga umetawala miongoni mwa wanahabari...wanadhani vitisho, kutekwa, kuuwawa pamoja na kufungiwa kwa Vyombo vya habari...vinatokea Tanzania pekee,

Na uhakika Kenya, Uganda na maeneo mengi Duniani, vitendo hivi vya kuzibwa mdomo vimetokea, lkn wanahabari wa huko hawakukata tamaaa waliendelea na harakati zao.

Sisi tutasubiri sana.....kuendelea kuandika habari za kuunga juhudi za Koroshow bila kuvumbua uozo, mambo mapya na changamoto nyingine...tusubiri Jeshi likabidhiwe Media tulishwe makala za kulimia kwa meno ili kukuza uchumi.
 
Obvious. We need more of you, to think out of the square a little more.
At the same time, the system is one of our biggest obstacle.

Mfano mzuri umegusia kujaribu kutoka upande wa Sanaa, lakini tunaweza kujaribu kufanya hivyo na kisha kukutana na mzee BASATA njiani kashika fimbo na akatuambia "Contents are not suitable for our Audience"
Halafu bila hata kujaribu kutusaidia kwa kushauri ama mawazo.
So we go back to square one.
Hahaha BASATA nao ni jipu kwa kweli!

Najaribu kuchokoza fikra tu babe, naona kama kuna haja ya media zetu kupanua wigo content-wise.. Ukiangalia mathalani tv channels za wenzetu unakutana na content simple lakini zinafurahisha mpaka raha.. Ubunifu mtamu sana.. Sio kila mtu anapenda siasa, habari, michezo na maigizo muda wote.. Tena hapo kwenye michezo yaani tumekariri soka tu.. Dah!
 
Nimetazama makala iliyoandaliwa na Citizen TV ya Kenya kwa Dkt. Reginald Mengi. Nikajisikia vizuri na vibaya kwa wakati mmoja.. Mixed feelings.. Excited and Disappointed.

Media zetu zinafocus kwenye mambo ya siasa tu ambako nako hakuna jipya.. Hivi tunakosa ubunifu mdogo kama huu kweli? Hii makala imefanywa poa sana na kwa kiwango cha kuvutia. Mzee Mengi is very simple and cooperative... Makala imefanyikia nyumbani kwake kiroho safi..

Mimi ni mdau wa Media.. Naumia sana nikiona Tanzania hatufanyi vizuri eneo hili wakati tuna rasilimali za kutosha sana.. Isitoshe watanzania ni watazamaji wazuri wa vitu vya kwao.. Huu ni mtaji tosha..

Tuna watu mashuhuri kibao ambao watu wangependa kuwafuatilia story zao kwa mtindo huu wa makala..

Youngest Billionaire wa Afrika, Mohammed Dewji MO anatokea Tanzania na kwa bahati nzuri jamaa yuko very humble and accessible.. Mpaka leo sijaona content yoyote iliyofanywa na media zetu kwa mtu kama Maxence Melo ambaye mchango wake umetambuliwa mpaka na Rais Buhari wa Nigeria hivi majuzi.. Tunao akina Flaviana Matata wanafanya mambo makubwa huko duniani, Mbwana Samatta na wengine lukuki.. Hizi ni hela ujue?

Wakenya wanatuzidi maarifa sehemu ndogo ndogo kama hizi.. Kwenye burudani Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kama sio Afrika kwa ujumla.. Sio filamu na muziki pekee.. Kila idara ya burudani tuko vizuri kwa kiasi kikubwa.. Hizi ni hela ambazo media zinashindwa kuzifikia.. Hatuna maarifa?

Siamini kama media zetu zimeishiwa ubunifu wa kutengeneza contents wakati kuna soko la kutosha tu.. Najua kabisa tuna wabunifu hawashindwi kuandaa makala za namna hii.. Tatizo liko wapi?!

Natoa wito kwa Media zibadili namna ya kufikiri.. Biashara haipo kwenye kufanya news coverage and reporting pekee.. Content kama hizi zinaongeza viewership na zinalipa sana..

Mimi ni jojiii maratuuuu,,,,,,,,,,,,,,,, wa aitiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiįiiiiiįiiiii
 
Hahaha BASATA nao ni jipu kwa kweli!

Najaribu kuchokoza fikra tu babe, naona kama kuna haja ya media zetu kupanua wigo content-wise.. Ukiangalia mathalani tv channels za wenzetu unakutana na content simple lakini zinafurahisha mpaka raha.. Ubunifu mtamu sana.. Sio kila mtu anapenda siasa, habari, michezo na maigizo muda wote.. Tena hapo kwenye michezo yaani tumekariri soka tu.. Dah!

💯 Bae.
Ubunifu mtamu. On top of that, it's like food for brain. It make us Think, and come up with different ideas.
Kitu kimoja interesting nimejifunza toka media za wenzetu, ni kwamba they always have something new. They come up with some new stuff/programs all the time.

Na ukiangalia vizuri unakutana na haya tunaongelea hapa. They always invite, and work on new ideas to come up with a successful course of action.
Utakuta wanaanzisha program, halafu wanaachia audience wa decide. Ikipata viewers na ratings nzuri, they go with it and keep it. Na kama ina fail, they dump it and try something different mpaka kieleweke. They keep doing that and never run out of ideas. Smart ideas.

And another important thing, they get support from their bosses, as opposed to what Mr handsome said above.
 
Ukweli mtupu. Si tu kwa watu mashuhuri, hata matatizo kwenye jamii zetu. Ukeketaji, ndoa za utotoni, unyanyasaji wa wanawake n.k Hata makala ya baba wa taifa iliyoandaliwa vema kwa lugha ya kiswahili sijui kama ipo..
 
Halafu likes za wakina Mengi, I think they can open up more kwenye Interviews za maana kama hivi. Sio zilizokaa kiu daku.
 
💯 Bae.
Ubunifu mtamu. On top of that, it's like food for brain. It make us Think, and come up with different ideas.
Kitu kimoja interesting nimejifunza toka media za wenzetu, ni kwamba they always have something new. They come up with some new stuff/programs all the time.

Na ukiangalia vizuri unakutana na haya tunaongelea hapa. They always invite, and work on new ideas to come up with a successful course of action.
Utakuta wanaanzisha program, halafu wanaachia audience wa decide. Ikipata viewers na ratings nzuri, they go with it and keep it. Na kama ina fail, they dump it and try something different mpaka kieleweke. They keep doing that and never run out of ideas. Smart ideas.

And another important thing, they get support from their bosses, as opposed to what Mr handsome said above.
Bae, I couldn't agree more to your points..

We have a very lazy workforce in the industry. I am afraid to say in every workplace. This has to change.

I totally agree with your point on support from bosses. They should really invite and embrace creativity and versatility.

Kuna watu makazini humu wana vipaji sana na wanapenda kujaribu mambo mapya ila wanakutana na vikwazo kutoka kwa mafogo... Inaonekana kuna maboss wanaogopa kujaribu au wanaogopa idea ya mfanyakazi wa chini yake ikiblow up basi nafasi yake itapokwa. Selfishness.

Halafu bae uko smart sana. I will come and re-marry.
 
Kingine; Tanzania ndio kaka mkubwa wa Afrika Mashariki kwa umri, nafasi na hata mitaji? Inabidi awe mfano kwa kila jambo!
 
Halafu likes za wakina Mengi, I think they can open up more kwenye Interviews za maana kama hivi. Sio zilizokaa kiu daku.
Hakika. Ndio maana nikamtaja Charles Hillary kama mfano. Huyu na wengine wa mfano wake wanaweza kufanya wonders kwenye media industry kuzidi hata wanavyofanya wenzetu hapa EA.
 
Back
Top Bottom