Umahiri wa Waandishi na Media zetu uko wapi?

You have a point... ila kwa hapa kwetu kufanya makala kama hizo hakuna ugumu...

Tatizo ni kwamba ni media ipi za hapa nchini utazirusha hizo makala...

Cc: mahondaw

Platform zipo nyingi unaanza kwa mfano YouTube na ktk social media zingine, ukiwa maarufu utatafutwa na kupata pia nafasi ktk TV stesheni, radio, producers wa documentaries /film, magazeti n.k ndani na nje ya nchi.
 
Well said
 
Back
Top Bottom