Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

Matusi yako wapi? Hapa tuko mimi na wewe, mbona hujiamini wewe? Hoja ni kuniita ****?

Kataa kama hamkukung'utwa 2-1 mkakimbilia kushitaki. Unashilikilia fuse zangu huku za kwako ziliungua kitambo. Next time andika HUNISUMBUI sio unisumbui.

13232966_1152375461471652_161219220607164837_n.jpg
Wewe kiumbe kweli hamnazo. Kazi kuruka ruka tu. Huna cha maana unachoandika zaidi ya mipasho tu

Jenga hoja acha personal attack, huna piga kimya.
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Mchezaji anakuwa bado ana mkataba na timu,hivyo anauzwa,hata hapa ni hivyo.hujawahi kusikia fedha a aliyopata simba walivyomuuza Okw na Samata?unaonekana sio mtu wa mpira
 
Back
Top Bottom