Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Stori za jana kutwa nzima sehemu mbalimbali Tanzania zilihusu Wenje, Tundu Lisu, Mch Msigwa na Kamanda Lema....
Kila kona, kila kijiwe walitajwa wana CDM na wabunge wao...
Sehemu kubwa ya wazungumzaji waliipongeza CDM. Mzee mmoja pale Magu - Mwanza alisema hivi '' Heri mbunge wangu atolewe bungeni kwa kutetea nchi yake kuliko mbuge wako anayelala bungeni kama Wassira au anayesinzia na kutoa udenda bungeni kama Mrema huku akisubiri kikao kiishe apokee posho ya 70,000''...
Kumbe hii move itawaweka pazuri sana hawa makamanda katika mchakato wa 2015, wananchi watawapa sympathy votes...