Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,434
- 92,796
Nakupongeza hongera sana, finaly ummemkubali Dr Slaa. ahahahahahahahahahahahahah!!!Kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina Dr Slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge