Umaarufu wa wabunge wa CHADEMA wapaa maradufu mitaani

Sikutegemea mtu anaeitwa Great thinker ndani ya JF kuandika thread km hii. Hivi kumbe CDM wameenda bungeni kutafuta umaarufu ? kama lengo ni hilo basi watafanikiwa sana na ndio maana maandamano hayaishi kwa kutimiza lengo hilo ? napale mnapoambiwa kuwa nyie nia yenu ni kutafuta umaarufu msikatae kuanzia leo
We hujui mchezo wa siasa unachezwaje ni bora uende kulala. Kabla ya uchaguzi JK alikuwa maarufu kuliko chama kwa mujibu wa Makamba na Redet, alipoingia Dr wa ukweli akauporomosha wote...
Bila umaarufu kura utapata wapi, nani atakujua?? Aisee nyie magamba ni vilaza... Kizungu wanaita Popularity
 
jamani mshezi ni mshezi tu hata ukimuweka kwenye chupa atanyosha kidole kuonyesha yupo ndio wanacho fanya wabunge wa CDM, ccm mnakazi sana mwaka huu
 
Back
Top Bottom