Umaarufu wa CHADEMA washuka

Umaarufu wa CHADEMA washuka

Chama kinaongezeka kuwa na wawakilishi wa Serikali!!!
Madiwani Wabunge nyie 2015
 
huu ni ukweli chadema inakaribia kuwa mfu. viongozi wake ni udhaifu katika kuiendesha chadema kama taasisi lakini mbaya zaidi wamekuwa wakikosa busara kila mara kwa kukosa lugha nzuri. upinzani bungeni umekuwa vichekesho kabisa. wameshindwa kumliza Mizengwe aliyepinda hata pale alipovunja wazi wazi katiba aliyoiahidi kuilinda. wote mnakumbuka Mizengwe iliyopinda alivyoililia nafasi yake bungeni baada ya kubanwa na upinzani makini lakini sio huu wa vurugu wa chadema. shame upon chadema

Ikiwa mfu wewe utapata hasara gani? Hutakula? Hutalala? Hutavaa? ....... Fanya yako achana na chadema manake unapoteza bure nguvu zako
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

282836_123155291180243_1845582737_n.jpg
945096_512016678864252_150753324_n.jpg
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
Majibu ya CHADEMA dhidi ya Uzushi wa Mwigulu Nchemba - YouTube
 
Kikwete na Kinana wanapanga kumvua Ubunge Mh. Tundu Lissu - YouTube
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki
Mtemelwa: CCM wanawafanya watu kama kuku wa kienyeji - YouTube
 
Kwa hali hii chadema umaarufu utazidi kuongezeka , maana maccm yakiamka ni chadema, yakila ni chadema, yakinya ni chadema kila kitu chadema.
 
By martyr2012
huu ni ukweli chadema inakaribia kuwa mfu. viongozi wake ni udhaifu katika kuiendesha chadema kama taasisi lakini mbaya zaidi wamekuwa wakikosa busara kila mara kwa kukosa lugha nzuri. upinzani bungeni umekuwa vichekesho kabisa. wameshindwa kumliza Mizengwe aliyepinda hata pale alipovunja wazi wazi katiba aliyoiahidi kuilinda. wote mnakumbuka Mizengwe iliyopinda alivyoililia nafasi yake bungeni baada ya kubanwa na upinzani makini lakini sio huu wa vurugu wa chadema. shame upon chadema
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Umetembelea Lumumba leo??? kale haki yako
 
makosa ya mizengwe ypo wazi na sirikali imeliona hilo we unaona CHADEMA imepwaya kumbe aliyepwaya ni mizengwe
 
Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya rais bungeni, kususa vikao vya bunge, maandamano ambayo baade yalizaa vifo, kusema nchi haitatawalika,wabunge wake kutoa lugha chafu kama mh sugu na mh msigwa,mh wenje,katibu mkuu wake kutuhumiwa kuvujisha siri na kiongozi wake lwakatare akituhumiwa mahakamani kwa kesi ya kutaka kudhuru, hivi vote vimewaondolea umaarufu mkubwa walionao ambao ulianza kuenea sehumu za vijijini kuanza kufutika taratibu kwani watu wameanza kuingiwa na hofu na dhamira halisi ya chama hiki

Kama Chadema kimepoteza umaarufu mnakitaja taja kwa nini?!

My friend remember that "no one ever kicks a dead dog"

Kuitajataja Chadema mnaiongezea umaarufu bila nyie kujua!
 
Tulitoa rai kuwa wachangiaji JF wachujwe ili kuokoa muda wa watu na shughulizao nyingi kusoma -----. Huyu mtoa mada ni mhanga wa Elimu(atakuwa ametokea shule za kata). Hana kibarua na anaganga njaa. Mwache tu awahi kuchukua hizo buku 2 au 3 akale ili kesho arudi hapa kutoa mada mlegezo. Muziki wa Chadema ni mkubwa na wakubwa zako wanaujua ndio maaana hawalali kutafuta mbinu za kuiangamiza lakini zote zimegonga mwamba. Hata matokeo ya uatafiti wa uchangiaji mada bungeni kikao kilichoisha siku cahche zilizopita zianaonyesha wabunge 48 wa CDM ni zaidi ya mkusanyiko wa wabunge magamba zaidi ya 300. Rudi shule ukapate elimu kaka.
 
Buku saba tu umekubali kiandika siredi........yaani wewe thamani yako ni sawa na wale machangudoa wa buku.
 
Back
Top Bottom