Gut
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 2,852
- 3,404
Mmeishiwa akili mpaka mnataka kunywa mkojo wa Li.su.Acheni kujidanganya.
Mmeishiwa akili mpaka mnataka kunywa mkojo wa Li.su.Acheni kujidanganya.
Kwa kuwakataza wenzio kujinadi,nyie mzunguke kuuza sera kwa lazima.Umaarufu kwa chama cha siasa ambao hauwezi kukipeleka ikulu ni bure kabisa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu...
Hakuna umaarufu mzuri kama ule unao kufanikisha kutimiza malengo yako hasa ya kwenda ikulu..
Kiazi wewe,mmeiruhusi chadema kujieleza kwa wananchi wake?Na hiki ndicho kinachouangusha upinzani. Yaleyale ya mtoto mdogo ana kitambi cha kwashakoo, mzazi anasema "mtoto kopiraiti huyu, kama baba yake." Ni maradhi, sio afya njema.
Huo "umaarufu" unaoongelea ni katika lipi hasa? Kama ni kamata kamata ya wapinzani haijaanzia kwa akina Mashinji. Huko nyuma zilishafanyika jitihada za kutaka kuvifuta baadhi ya vyama vya upinzani kwa tuhuma kuwa ni vya kigaidi. Kuna watu wameshapoteza maisha yao kwa kushiriki maandamano ya vyama hivyo, damu ambayo leo baadhi yenu "mnaikebehi" na hoja za "kupanda umaarufu wa Chadema."
Tofauti kati ya zama hizo na sasa ni kwamba Chadema ilikuwa na ajenda ya kuwapigania walalahoi, na kwa hakika ilikuwa na ufanisi kama sauti ya wanyonge, na mbadala stahili wa CCM. Hivi leo Chadema inasimamia nini? Kama inabidi Mashinji akamatwe ndo ajulikane, basi mna matatizo makubwa mno.
Mkitaka umaarufu usio wa kufikirika bali utakaowawezesha kuingia Ikulu mwaka 2020 basi waonyesheni Watanzania kuwa mpo kwa ajili yao, ninyi ni bora kuliko CCM, na mtaipeleka Tanzania inapostahili kuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ngada ina heusha akiri utafiti umeufanya lini huo au bdo umelala hapa kila siku wana janvi wanasema chadema imedolo mna bisha kumbe ndani ya mioyo yenu na ninyi mnajua imekuwa mfu sasa hivi mnasena umaarufu umepanda kumbe mnajua chama badala ya ku fly to KIA kina walk to KIA HAHAHAHAUchunguzi wangu umebaini kwamba baada ya jeshi la polisi kutii maagizo ya ccm , ya kukamata na kuwashughulikia wabunge na viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima , umaarufu wa chama hiki umezidi kupanda kwa kasi ya ajabu.
Kukamatwa kwa Dr Mashinji huko Nyasa kumeisambaza zaidi Chadema mpaka vijiji vya mbali kama Nkaya , Nsungu na Ilela kiasi cha kutishia uhai wa ccm maeneo hayo.
Habari za kukamatwa kwa Lissu The Great , kumeifanya sasa dunia nzima kuujua kwa undani moto wa CHADEMA nchini Tanzania , kwa ujumla kukamatwa na kuhojiwa kwa makamanda kadhaa kama Lowassa , Kubenea , Mdee na wengine kote nchini kumeipaisha zaidi Chadema .
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .Kweli ngada ina heusha akiri utafiti umeufanya lini huo au bdo umelala hapa kila siku wana janvi wanasema chadema imedolo mna bisha kumbe ndani ya mioyo yenu na ninyi mnajua imekuwa mfu sasa hivi mnasena umaarufu umepanda kumbe mnajua chama badala ya ku fly to KIA kina walk to KIA HAHAHAHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi nafasi zote za viongozi wa ccm zimejazwa na polisi .😀😀😀 mnapenda sana kujifariji vijana
Wamembambikia Lissu madawa ya kulevya au?Erythrocyte unakumbuka jana nilisema watakuja kumbambikia kesi mbaya, umesikia ya Mkojo, ni kutaka kumbambikia madawa ya kulevya. Sijui wamechukua tahadhali gani? Naogopa
Hoja.mufilisi kabisa na ndio tumezoea kuzisikia kwani sehemu.mlizo shinda wabunge na madiwani na hata kushinda halimashauri polisi hawakuwepo? Acheni kudanganya watu mnaposhinda mnadai mnao uwezo mkishindwa polisi tuwaelewejeBila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
Uchunguzi umefanywa na taasisi gani? Au ni uchunguzi wa vichaa kama Tundu Lisu ambaye hadi sasa ananyea ndoo.Uchunguzi wangu umebaini kwamba baada ya jeshi la polisi kutii maagizo ya ccm , ya kukamata na kuwashughulikia wabunge na viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima , umaarufu wa chama hiki umezidi kupanda kwa kasi ya ajabu.
Kukamatwa kwa Dr Mashinji huko Nyasa kumeisambaza zaidi Chadema mpaka vijiji vya mbali kama Nkaya , Nsungu na Ilela kiasi cha kutishia uhai wa ccm maeneo hayo.
Habari za kukamatwa kwa Lissu The Great , kumeifanya sasa dunia nzima kuujua kwa undani moto wa CHADEMA nchini Tanzania , kwa ujumla kukamatwa na kuhojiwa kwa makamanda kadhaa kama Lowassa , Kubenea , Mdee na wengine kote nchini kumeipaisha zaidi Chadema .
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Una ndugu yeyote ambaye ni kamishna wa polisi ?Hoja.mufilisi kabisa na ndio tumezoea kuzisikia kwani sehemu.mlizo shinda wabunge na madiwani na hata kushinda halimashauri polisi hawakuwepo? Acheni kudanganya watu mnaposhinda mnadai mnao uwezo mkishindwa polisi tuwaeleweje
Sent using Jamii Forums mobile app
Uoga ni dhambi mbaya sana !Uchunguzi umefanywa na taasisi gani? Au ni uchunguzi wa vichaa kama Tundu Lisu ambaye hadi sasa ananyea ndoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiko tunakoelekeaWamembambikia Lissu madawa ya kulevya au?
Unauhakika?UCHAKAVU unakiandama CHADEMA kwa kasi ya AJABU.....
Labda Moshi na Arusha!Uchunguzi wangu umebaini kwamba baada ya jeshi la polisi kutii maagizo ya ccm , ya kukamata na kuwashughulikia wabunge na viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima , umaarufu wa chama hiki umezidi kupanda kwa kasi ya ajabu.
Kukamatwa kwa Dr Mashinji huko Nyasa kumeisambaza zaidi Chadema mpaka vijiji vya mbali kama Nkaya , Nsungu na Ilela kiasi cha kutishia uhai wa ccm maeneo hayo.
Habari za kukamatwa kwa Lissu The Great , kumeifanya sasa dunia nzima kuujua kwa undani moto wa CHADEMA nchini Tanzania , kwa ujumla kukamatwa na kuhojiwa kwa makamanda kadhaa kama Lowassa , Kubenea , Mdee na wengine kote nchini kumeipaisha zaidi Chadema .
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Magazeti yote habari kuu kwa siku za karibuni ni kuhusu chadema na viongozi wake, na si porojo za Sizonje na ziara zake huko magharibi ya tz.chadema inafaidi na matangazo ya Bure , kwa sasa wamepata promo ya nguvu sehemu zote walizo pita wakubwa ambapo Magufuli anapiga kampeni za chadema Kigoma ma waziri mkuu yupo mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida mkuu, ni wenye akili tu ndio watakuelewaUchunguzi wangu umebaini kwamba baada ya jeshi la polisi kutii maagizo ya ccm , ya kukamata na kuwashughulikia wabunge na viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima , umaarufu wa chama hiki umezidi kupanda kwa kasi ya ajabu.