Umaarufu wa CHADEMA waongezeka maradufu

Umaarufu wa CHADEMA waongezeka maradufu

Uchunguzi wangu umebaini kwamba baada ya jeshi la polisi kutii maagizo ya ccm , ya kukamata na kuwashughulikia wabunge na viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima , umaarufu wa chama hiki umezidi kupanda kwa kasi ya ajabu.

Kukamatwa kwa Dr Mashinji huko Nyasa kumeisambaza zaidi Chadema mpaka vijiji vya mbali kama Nkaya , Nsungu na Ilela kiasi cha kutishia uhai wa ccm maeneo hayo.

Habari za kukamatwa kwa Lissu The Great , kumeifanya sasa dunia nzima kuujua kwa undani moto wa CHADEMA nchini Tanzania , kwa ujumla kukamatwa na kuhojiwa kwa makamanda kadhaa kama Lowassa , Kubenea , Mdee na wengine kote nchini kumeipaisha zaidi Chadema .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Endelea kujifariji Chadema ipo ICU
 
Iko hivi, zile kura milioni 6 ziko palepale. Na wale wenye milioni 8 kuna nyingi ambazo zimepungua kutokana na matatizo yaliyoletwa kwenye ajira zao, ukosefu wa nafasi za kusoma kwa kunyimwa mikopo, biashara zao kuharibiwa na sera mbovu, maonevu na matumizi mabaya ya Polisi nk nk. Kura hizi zinazopungua zinaenda kule kwenye 6.
Sasa kuna zile kura zaidi ya milioni 4 ambazo hazikutumika 2015 kwa sababu hawakuwa wanaona umuhimu wa kupiga kura kutokana na matumizi makubwa ya vitisho vya dola, media kutumika vibaya hata kuletewa mizengwe kwenye mchakato na kuona kama kupiga kura ni upotevu wa muda tuu, hizi 2/3 lazima ziende mahali pake yaani kule kwenye 6.
Baada ya hapo jiulize kama uchaguzi unakuwa huru na haki matokeo yanakuwaje? Kwanza 2015 mumshukuru sana Kinana na Nape kwa kufanya juhudi za ziada ingawa leo mnawaona hawana maana (tabia za shetani kukosa shukrani) pia muwaenzi sana Lubuva, Jecha na Wakurugenzi (Returning officers) wasio waaminifu kwa kazi kubwa waliyo wafanyia
Umemkimbiza !
 
Uchunguzi wangu umebaini kwamba baada ya jeshi la polisi kutii maagizo ya ccm , ya kukamata na kuwashughulikia wabunge na viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima , umaarufu wa chama hiki umezidi kupanda kwa kasi ya ajabu.

Kukamatwa kwa Dr Mashinji huko Nyasa kumeisambaza zaidi Chadema mpaka vijiji vya mbali kama Nkaya , Nsungu na Ilela kiasi cha kutishia uhai wa ccm maeneo hayo.

Habari za kukamatwa kwa Lissu The Great , kumeifanya sasa dunia nzima kuujua kwa undani moto wa CHADEMA nchini Tanzania , kwa ujumla kukamatwa na kuhojiwa kwa makamanda kadhaa kama Lowassa , Kubenea , Mdee na wengine kote nchini kumeipaisha zaidi Chadema .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Yaani sasa hivi chadema wanapanda chati kuliko kipindi chochote nchini
 
hata wale wauaji wa kibiti ni maarufu , cha maana ni kujua huo umaarufu unawasaidiaje wananchi wa kawaida.
 
Uchunguzi wangu umebaini kwamba baada ya jeshi la polisi kutii maagizo ya ccm , ya kukamata na kuwashughulikia wabunge na viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima , umaarufu wa chama hiki umezidi kupanda kwa kasi ya ajabu.

Kukamatwa kwa Dr Mashinji huko Nyasa kumeisambaza zaidi Chadema mpaka vijiji vya mbali kama Nkaya , Nsungu na Ilela kiasi cha kutishia uhai wa ccm maeneo hayo.

Habari za kukamatwa kwa Lissu The Great , kumeifanya sasa dunia nzima kuujua kwa undani moto wa CHADEMA nchini Tanzania , kwa ujumla kukamatwa na kuhojiwa kwa makamanda kadhaa kama Lowassa , Kubenea , Mdee na wengine kote nchini kumeipaisha zaidi Chadema .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Viva Lissu The Great.
 
Na hiki ndicho kinachouangusha upinzani. Yaleyale ya mtoto mdogo ana kitambi cha kwashakoo, mzazi anasema "mtoto kopiraiti huyu, kama baba yake." Ni maradhi, sio afya njema.

Huo "umaarufu" unaoongelea ni katika lipi hasa? Kama ni kamata kamata ya wapinzani haijaanzia kwa akina Mashinji. Huko nyuma zilishafanyika jitihada za kutaka kuvifuta baadhi ya vyama vya upinzani kwa tuhuma kuwa ni vya kigaidi. Kuna watu wameshapoteza maisha yao kwa kushiriki maandamano ya vyama hivyo, damu ambayo leo baadhi yenu "mnaikebehi" na hoja za "kupanda umaarufu wa Chadema."

Tofauti kati ya zama hizo na sasa ni kwamba Chadema ilikuwa na ajenda ya kuwapigania walalahoi, na kwa hakika ilikuwa na ufanisi kama sauti ya wanyonge, na mbadala stahili wa CCM. Hivi leo Chadema inasimamia nini? Kama inabidi Mashinji akamatwe ndo ajulikane, basi mna matatizo makubwa mno.

Mkitaka umaarufu usio wa kufikirika bali utakaowawezesha kuingia Ikulu mwaka 2020 basi waonyesheni Watanzania kuwa mpo kwa ajili yao, ninyi ni bora kuliko CCM, na mtaipeleka Tanzania inapostahili kuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte unakumbuka jana nilisema watakuja kumbambikia kesi mbaya, umesikia ya Mkojo, ni kutaka kumbambikia madawa ya kulevya. Sijui wamechukua tahadhali gani? Naogopa
Hii ni hatari sana.Inamaana huu mchezo upo sana.Kama wanaweza kumfanyia hivi Lisu inamaana kuna watu kibao washa fanyiwa hivi.
 
Tunaposema mnatafuta kiki huwa hatukosei
 
Back
Top Bottom