Umaarufu wa CHADEMA waongezeka maradufu

Umaarufu wa CHADEMA waongezeka maradufu

Umaarufu kwa chama cha siasa ambao hauwezi kukipeleka ikulu ni bure kabisa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu...

Hakuna umaarufu mzuri kama ule unao kufanikisha kutimiza malengo yako hasa ya kwenda ikulu..
Kama wewe uliweza kwenda basi Ukae ujue chadema itaenda na kama kweli mnajiamini


Msitume jeshi wala msitumie kamata kamata twendeni majukwaani uone Moto wake

Chadema ni CHAMA kinacho mfanya rais wako Hana mda wa kupumzika kila siku yuko kwenye TV tu asipoandikwa analalamika hajaandikwa kwenye magazeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magazeti yote habari kuu kwa siku za karibuni ni kuhusu chadema na viongozi wake, na si porojo za Sizonje na ziara zake huko magharibi ya tz.
Hiyo kitu Sizonje hataki hata kusikia , baada ya waandishi kuyatelekeza makinikia , roho inamuuma sana !
 
Ndiko tunakoelekea
Ule ujinga na upuuzi tulikuwa tunausikia kwa kina Mobutu, Kagame, Yoweri na juzi Nkurunzinza eti na sisi ndiyotumekuja kuwa wapuuzi na wajinga kama wao na sasa tunajitahidi kuwapita.

Hii matakataka ya hizo Empire za kijinga ni ya kukwepana nayo kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom