SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Usisahau kuna Wanyakyusa wenye Asili ya Kibulushi mkuu....Kama yule jamaa wa Mbarali.Sasa wanyakyusa na kiarabu wapi na wapi?
Wanyaki bila kualika/kuwakaribisha wawekezaji nje ya meya huo mji utabaki kuwa magofu na mbavu za mbwa kama ulivyo sasa! Badilikeni.Sasa wanyakyusa na kiarabu wapi na wapi?
Nimetembelea mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Kagera (yote), Morogoro, Dar es salaam, Pwani, Rukwa, Katavi, Mbeya (Nyumbani) na Shinyanga. Ila hakuna mikoa yenye uchawi na ushirikina wa wazi kama DAR ES SALAAM NA pwani.Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Mbeya kumezidi uchawi sana huwezi fanya biashara bila kuwa mshirikina....Nilikuwa na duka Kabwe nikalifunga kwa ajili ya ushirikina wa wanyakyusaNimetembelea mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Kagera (yote), Morogoro, Dar es salaam, Pwani, Rukwa, Katavi, Mbeya (Nyumbani) na Shinyanga. Ila hakuna mikoa yenye uchawi na ushirikina wa wazi kama DAR ES SALAAM NA pwani.
Ingawa kila sehemu uchawi upo ila Mikoa ya Pwani ni wamezidi.
wanyakyusa na wakinga wote wale wale washirikina Mbeya yote i uchawi umetamalaki kuanzia Kyela mpaka TundumaUsikariri...wafanyabiashara wengi hapo mjini sio wanyakyusa ni wakinga..na hao ndio wenye hayo mandumbwendumwe
lakini Mbeya kumezidi aisee ushirikina nje nje watu wa mbeya wana roho mbaya kama sura zao.Wafanya biashara wengi mbeya mjini sio wanyakyusa....BTW: hamna sehemu inayokosa mambo hayo
lakini Mbeya kumezidi aisee ushirikina nje nje watu wa mbeya wana roho mbaya kama sura zao.
Ulishindwa kuendesha biashara mwenyewe na si vinginevyo.Mbeya kumezidi uchawi sana huwezi fanya biashara bila kuwa mshirikina....Nilikuwa na duka Kabwe nikalifunga kwa ajili ya ushirikina wa wanyakyusa
nimefungulia Singida maisha yanaenda kama kawa...Mbeya sitakaa nikanyage tena mijitu mibinafsi imejaa roho mbaya kama mashetaniUlishindwa kuendesha biashara mwenyewe na si vinginevyo.
Haya ulifunga Mbeya sababu ya uchawi, umefungua wapi umefanikiwa?
Tafuta mkinga wa makete akupeleke mahali utakuja niambiaNilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
we angalia tu mikoa ya kusini watu wana sura mbaya roho zao mbaya sana....nenda arusha na moshi wana sura zuri na roho zao nzuri
ni kweli shindani wa biashara za kishirikina ulinishindawe jamaa ushindan wa kibiashara ulikushinda unasingizia uchawi