Ulozi kwenye mahusiano...

language checki ni ulonzi au ulozi?

halafu original post ya LARA1 iko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Gfsonwin tafadhali naomba msaada wako...wapi naweza kupata olozi wa kumloga nyumba ndogo yangu maana naona naipenda mpaka basi ila inanizingua na haitulii...

Nataka niitulize inisikize mimi tuu...na ipo vizuri ikiwezekana inihudumie na niishi ki-mario baloteli mpaka nifurahi... Zamani ilikuwa imetulia sikuhizi naona kaka naachwa vile...

Please naomba uweke vikorombwezo vyooote hapa jamvini ili viwafae wanajamvi wenzangu wanaohitaji kuimarisha mapenzi yao ndoani au hata nyumbani ndogo.
 
dawa ya mapenzi ipo kwa Mungu tu, je unahitaji kumwona? kama ni ndio wasiliana naye kwa njia ya maombi na kusoma barua anazojibu katika biblia. mbarikiwe. . .
 
Naamini uchawi upo..na wanadamu wanautumia kudhuriana, kuhusu wanaume kulogwa na nyumba ndogo..nakubali kwa sehemu maana huyu mwanaume ni mtu mwenye utashi na maamuzi..hivyo ana kucheat kwa kuamua kwa utashi wake, naamiani kabisa wapo watu wabaya lakini mtu kuwa na nyumba ndogo ni maamuzi yake..uchawi ni nyongeza tu.
 
yaani uchafu mtupu kwa kwenda mbele.ndio kwanza nayasoma jf.wanawake tuna kazi,mume anaabudiwa hivyo.na nyie wanaume tulieni.ni kinyaa kwa kweli

..Bora umeliona hilo my dear..hapo kwa bold ni soo true kwa pande za africa..God have mercy on me!
 
Nashukuru mama Ngina sio member humu................!
 

.....je, mke wa ndoa akikufanyia "ulozi" huu akudhibiti, "inakubalika?"
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi tu na wanaishia kuwalisha wenzao uchafu wa kupindukia...

Wasopoacha watakuja kuwaua wenzao kwa kuwalisha bacteria wa kwenye kinyesi au kuwasababishia kipindupindu!

Ujinga mtupu!!

Babu DC!!

Hahahaha.....swahiba, uchafu ee? ....kwa hiari 'wengine' hupeleka ulimi wao na kufanya lamba lamba huko unakokuona kuna uchafu shekhe!

All in all, insecurities zinawapelekea watu wengi 'wenye imani potofu' kufanya ndondocha, kumbe 'uchawi' wote upo kwenye matendo na kauli nzuri.
 
niliomba unipe link ya post ya lara hiyo uliyo quote
hukunipa
kulink ndo sijui bana mm si mwl wa kompyuta hahhahah.........
iliandikwa hivi mimi,bosi, mke wa bosi na hawara twagongana kwa mganga. nafikiri key words ni hizo
 

yaani kwanza kabisa mimi mganga wangu, ni Damu ya Yesu na Moto wa Roho mtakatifu. ukivitumia hivi utakavyo kwenye ndoa lazima upete
 
Hiyo ya kula nyama iliyowekwa kunako kwa siku saba kiboko. Najaribu kuimagine harufu yake. ha ha haa . Wanaume tuna shida kweli kweli
 
Ni kweli yanafanyika hayo kwa wanawake wasiojiamini hv kweli kumlisha mwanaume uchafu huo si anaweza kuugua wanawake tumieni mizungu mahaba lugha laini mapenzi mazito na kumaliza migogoro kwa utulivu na njia ya mahaba basi mapenzi hapo yanakua matamu mume anaangalis saa yake mda wote awahi kurudi kwa honey wake aje kujifaidia mahaba si kuwalisha uchafu haipendezi mume anapenda malezi na kudeza


Nayanda
 
1.Kuna ambayo mtu anapewa anaweka mdomon anasuza mdomo,then anakukiss,apo hata umwambie nichambulie marage kwenye kinyes changu anachambua kwa ulimi!(hutumika sana na dada au kakazetu walioopoa mapedeshee au wadhungu wawapelekeshe wawachune ad ngozi)
2. Yakuchanjiwa kwnye paji la uso, si mapenzin tu,adi maofisin,kila akuonae anakuinamia i min anakutetemekea.
3. Yakuweka kwenye msosi unamnuia yeye mhusika, chochote utakacho,teh asa ole wale panya,cjuw itakueje
4. Nb zipo nyingi tu,hasa Tabora,KG siyo wote but wengi waha na wanyamwezi hupenda sana mpulizo..NASISITIZA SIYO WOTE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…