skiliza nikwambie
Kongosho wapo wanawake walioko ndoani ambao huamini sana ushirikina so kwao huona kumtuliza mume ni kumloga.
kumbe hata wanawake waliondo ndoani nao wana insecurities hadi kuamua kuwaloga wamme zao.
Je, aliye ndoani na asiye ndoani procedure za kuloga ni tofauti??
Kama ni tofauti zao zikoje??
Na je, wanamme wana risks sana wakiwa na wake zao walozi au small house walozi?
Hapa najaribu kupima muda anaospend na mke mlozi vs small house mlozi.
Je, yule anayekaa naye muda mwingi si ndio ataleta madhara makubwa zaidi??
4783942 said:
%100 ya w=small house zinazohudumiwa kwa kupewa nyumba na magari wanaloga hakuna upendo wa kawaida hapa never. hii nimeona kwani wengi dawa zikiisha huachwa ama wanaume hurudi tena kwake mikono nyuma.
kuna mada moja aliileta Badili Tabia ya kwa nini wanamme wanarudi kwa wake zao hata kama waliasi, sababu ziko nyingi, ila sikuwa na habari na hii ya ulozi pia.
Na pia nashindwa kujua hiyo 100%, umeipataje, ni smalll house ngapi ulizoona, na ni za mazingira gani??
Na pia, hivi kuhongwa nyumba ni ajabu?? Au kuhongwa gari ni ajabu?? Hadi mtu aloge ndio aweze hongwa vitu vya aina hii??
Mwanamme anaweza kukuhonga hata ikulu, siri mfahamu anataka nini, pima kama yuko connected na wewe kwa kiwango gani, be yourself, utapata utakacho.
Kingine, hivi bill gate kuhonga nyumba ya USD mil 15, ni issue?? Kama nataka nyumba kwa nini nidate muuza kibanda cha mkaa? We call it strategic positioning au kwenye biashara ni location, location, location
Nina mengi ya kusema nimechoka tu.
Zaidi ya kondomu, penzi halina dawa.