kwani unapenda kuwa juu au chini ya mchepuko?Sio ulokole wa dizaini hiyo ulokole unazungumziwa hapa ni mwingine
mfano wewe khantwe useme umechoshwa na mmeo unataka kuchepuka
heeee tutakurushia maneno hadi ukomeeee
mi mwenyewe ntakusema wakati muda huo naandika nipo juu ya kifua cha mchepuko wangu na mie
Binafsi ni mdau mzuri wa facebook (hasa kipande ya usomaji zaidi wa kile wadau wengine wanachopost). Kwa ufupi kule watu walio wengi ni wema sana, full kuposti mistari ya biblia na kukemea uovu yani kule unaweza kujiona wewe ndio shetani peke yako duniani. Wnawake wengi walio single (hasa wale walioko kwenye 30's na hakijaeleweka) ndio usiseme kwa injili. Yani ni kama dozi (asubuhi mchana na jioni).
Mtu amekula dunia wee hadi dunia imemchoka, mtaani alishachakaza sasa anaona usiku unakaribia suluhisho ni mwendo wa kuposti verse tu
Aiseeh kumbe ke walio kwenye 30's wanateseka namna hii
daaaaa mumewaandama jaman looo
according to the thread
pale unapokua unaigiza halafu unakutana na muigizaji mwenzako
Hivi mimi huwa nashangaa....mtu kuandika mistari ya bible kwenye wall yake mwenyewe mtu mwingine anaumia nini?
daaaaa hatari vip hali lakin kwema huko
Teh Facebook kuna walokole?Hawafui dafu kwa walokole wa jamiiforum, he he he hawakaribii hata punje....
Ni kweli ashuu6 hata kwenye watsupp chunguza status full mistari ya baibo ni noma aisemmmmhh!!sr bachelor kwa nyundo!!
Yaan humu kuna walokole balaaaaaa
Wanakemea hao utadhani wameona mapepo
Ha ha ha mi mi mi simoooooKumbe wao ndio mapepo kabisa
Pole sana aisee. Umeshapotea